nani muongo zaidi

nani muongo zaidi

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
Nani muongo zaidi
 

Attachments

  • fix.jpg
    fix.jpg
    94.6 KB · Views: 655
Hapo mke ndo kafunika asee; yaani amdanganya hadi kwa mambo ya imani!
 
Wote wamesema uwongo.Lakini,uwongo wa mwanaume si salama. Mke akiamua kwenda Kituo cha Polisi je?
 
mke ndo kazidi,
unasingizia kanisan wakat unaenda kufanya uzinzi, afu yupo na msela anasema dada, mbaya zaid mzee anamwambia kashikiliwa na polic ye hajali....
 
Mwanamke anaakili finyu. Mume akirudi home si atamkuta dada?! Mume amekamatwa kwa nini huuulizi sababu na kama vp uende huko? Mwili mkubwa amejiachia hafanyi mazoezi, mzee ametafuta kipotabo kitu kifanyacho mazoezi!! Mama mzima ovyo huvai kiheshima!
 
mambo ya aliuza cheni feki, kapokea hela bandia and vice versa!
 
Back
Top Bottom