Wa Nyumbani JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 438 Reaction score 67 Apr 13, 2012 #21 Tuko pamoja mkuu....umenipa kali ya kufungia wiki!!!!!!!!
engwe1980 Member Joined Apr 12, 2012 Posts 53 Reaction score 37 Apr 13, 2012 #22 Mtanzanika said: hahaha!!! Imani dhaifu!!!!!!loh!!! sasa na huyo mwenye Panga nae kadhamiria kutisha watu, unamtafuta aliye Muislamu ndani ya Msikiti jamani! Click to expand... Mkuu kama unatafuta mwislamu safi pahala pake msikitini. Sasa hao ambao waliogopa wanaonekana wote imani zao haba.
Mtanzanika said: hahaha!!! Imani dhaifu!!!!!!loh!!! sasa na huyo mwenye Panga nae kadhamiria kutisha watu, unamtafuta aliye Muislamu ndani ya Msikiti jamani! Click to expand... Mkuu kama unatafuta mwislamu safi pahala pake msikitini. Sasa hao ambao waliogopa wanaonekana wote imani zao haba.
Ally Kombo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 11,429 Reaction score 2,653 Apr 13, 2012 #23 Mashroud said: Sheria ipi inamzuia kuingia? Click to expand... damu ni najisi (uchafu) hivyo hupasi kuingia nayo !
Mashroud said: Sheria ipi inamzuia kuingia? Click to expand... damu ni najisi (uchafu) hivyo hupasi kuingia nayo !
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Apr 13, 2012 #24 LiverpoolFC said: Jf inaweza ikakufanya raia wakuelewe vingine kabisa! Click to expand... Kweli mkuu hujakosea
LiverpoolFC said: Jf inaweza ikakufanya raia wakuelewe vingine kabisa! Click to expand... Kweli mkuu hujakosea
Konya JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 921 Reaction score 118 Apr 13, 2012 #25 very funny dah! unafanya masiara na imani wewe wengi tunahudhuria tu hayo maeneo...iko poa
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,496 Reaction score 3,389 Apr 14, 2012 Thread starter #26 ally kombo said: damu ni najisi (uchafu) hivyo hupasi kuingia nayo ! Click to expand... Mkubwa! Imani siyo mchezo,wengi wanafika Miskitini na Makanisani kusudi tuonekane tu! Linda imani yako Kijana!
ally kombo said: damu ni najisi (uchafu) hivyo hupasi kuingia nayo ! Click to expand... Mkubwa! Imani siyo mchezo,wengi wanafika Miskitini na Makanisani kusudi tuonekane tu! Linda imani yako Kijana!
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Apr 15, 2012 #27 Teh teh