"Nani MUISLAM hapa??"

"Nani MUISLAM hapa??"

hahaha!!!
Imani dhaifu!!!!!!loh!!!
sasa na huyo mwenye Panga nae kadhamiria kutisha watu, unamtafuta aliye Muislamu ndani ya Msikiti jamani!

Mkuu kama unatafuta mwislamu safi pahala pake msikitini. Sasa hao ambao waliogopa wanaonekana wote imani zao haba.
 
very funny dah! unafanya masiara na imani wewe wengi tunahudhuria tu hayo maeneo...iko poa
 
Back
Top Bottom