Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

leo naona kamati za yanga zinataka kumuondoa maximo nini..
 
kwikwikwi
 

Attachments

  • 1418481141392.jpg
    1418481141392.jpg
    46.8 KB · Views: 189
kulikoni kwa wale mlioko uwanjani mbona kama kuna maombolezo kabla ya mechi kuanza?
 
Hahahaha hapa alipo miwani imekua mizitooo.Hajitambui kabisaa.Yupo yeboyebo yani hapa ni kama vile nina mgonjwa tena yupo ICU full kumbwela mbwela

hahahahahaha! mke mwe leo hatupewi chakula ya usiku!
 
Hiyo mechi ya mchangani mnayopigia makelele bado haijaisha tu?
 
Back
Top Bottom