Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

simba pale kati wako poa ndo maana yanga wanashindwa kushambulia ila mabeki wa simba sina imani nao sana
 
Yanga wanacho jua ni kuzimia tuu hakuna lingine!
 
Kuna watu siwaoni hapa sijui hawana bando? Hahaha!
 
Tafadhali Katavi uwe mpole usioneshe msimamo wako, ya world cup yanatosha hahahahahahh!!! Mzima lakini mkuu?

Hahahaaah,,,,,,,mimi mzima, yale ya world cup nimegundua nyota yangu kipindi kile ilikuwa imezima kabisa, ila sasa inang'ara,,,,,,,
 
Last edited by a moderator:
Steve wa kulialia leo atazimia kabisa

jamaa mbona kashanunuliwa na azam toka usajiri wa kipindi cha kiangazi, ila kwenye mkataba azam wamemwekea kipengele kinachomkataza kulia,
hujuma, hujuma hujum....
 
Back
Top Bottom