Nani mtani jembe kati ya mke na mume katika kisa hiki? Nahitaji utatuzi

rikyroxy

New Member
Jul 3, 2013
2
0
Mume alipitia bar kunywa pombe,alipo rudi nyumbani mke akawa mkali akimwambia mumewe sikufungulii mlango urudi ulipo kua,kwa bahati mbaya au nzuri pembeni kulikua na shimo:nailikua hivi.=

Mume: sasa mimi najitupa ndani ya shimo hli nikifa basi,mume akachukua jaba la jiwe na kulitupa ndani ya lile shimo na mke kusikia aka toka nje haraka kuelekea katika lile shimo akiwa na khanga moja,
kwa haraka mume nae akaingia ndani na kufunga mlango,na mke akamwambia ntapiga ukunga nifungulie mlango,mume ulikua wapi na khanga moja?
 

Attachments

  • MM NA NYAU LANGU..jpg
    MM NA NYAU LANGU..jpg
    20.9 KB · Views: 185
Back
Top Bottom