Nani Msema kweli kati ya hawa?

Tembosa

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,412
3,808
df5eead88096706ef1a0062a91cc3427.jpg
 
Swali lako halina mashiko. Hakuna mwanasiasa msema kweli hata mmoja hapa duniani. By its own nature politics is a lying game. Sasa siasa na ukweli wapi na wapi? Tena waongozwaji wenyewe Watanzania? Thubutuuuu!!!
 
me hapo namjua tu bingwa wa kuigiza movie kuwa anampenda Mungu sana (msema kweli kipenzi cha Mungu) wakati rohoni ana visasi na uchungu kama wa uzazi ,hana directions etc,hakujiandaa
 
Wanasiasa ukikutana naye atakuambia jina lake pekee la ukweli mengine mwachie Mungu......Na wakat mwengine km cheti sio chake na ameundergo ubashiteism bas hata atakudanganyaaa.
 
Utawala huu msema kweli ni Mkulu tu na washikaji zake tu. Mtu mwingine yeyote atakayesema ukweli hasa ule ukweli unaokerakera, basi mtu huyo moja kwa moja anakuwa ni MCHOCHEZI. Na ni hatari kwa usalama wa taifa
 
Back
Top Bottom