Nani msaliti!!?

Nani msaliti!!?

Joined
Oct 12, 2012
Posts
52
Reaction score
10
Mwanamke na mumewe wamelala usiku mara mwanamke katika ndoto yakr akaanza kupopoma " wewe fanya faster mumewangu anakuja fastaaaaa!!" Mwanaume kusikia hivyo akakurupuka kachukua nguo zake nduki chafu!!? Kufika nje mwanaume anagundua kuwa anakimbia nyumba yake na kamuacha wife ndaniNani msaliti kati ya hawa!!
 
Msaliti ni mwanaume, nahisi mwanamke alitumia hiyo janja kupima how smart mumewe is katika ku-cheat....
 
Back
Top Bottom