Nani mrithi halali kwa sheria za mahakama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mrithi halali kwa sheria za mahakama?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Donn, Oct 28, 2012.

 1. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Endapo baba akifariki akaacha watoto wawili wakike (18 ) na wakiume (18 ), lakini hajaacha wosia uridhi wa ardhi ya marehemu itaridhiwa na mtoto yupi? Au watoto wote?
  Je endapo marehemu akiacha wosia wa kumuachia mali yote mtoto mmoja tu wakiume, mahakama inaweza vunja wosia endapo watoto wengine wa marehemu wakifungua kesi ya madai?
   
 2. h

  hacena JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kwanza kabisa hatuna sheria za mahakama, sheria ni za nchi, kama hakuna wosia mali zitagawanywa kwa wale wenye maslahi na marehemu yaani watoto wote 2 baba na mama wa marehemu na kadhalika, kama wosia upo utafuata wosia wa marehemu, kama marehemu ni muislamu sheria za kiislamu zitatumika na mgawanyo upo kwa mujibu wa sheria za kiislam na chanzo cha sheria za kiislamu ni Quruan
   
 3. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ahsante kwa mchango wako
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,745
  Likes Received: 12,822
  Trophy Points: 280
  Hapa wosia utafatwa!
  Japo kila mtoto ana haki yakuwa mrithi.

   
Loading...