Nani mmiliki wa sophia house?

Nani mmiliki wa sophia house?

duuuuuhhhhh


SOPHIA HOUSE ni ya MWINYI.......

ndio maana hazeeki, ni mwixi huyu babu??//
 
Sophia House ni wahindi kama sikosei ni wahindi waliotokea Songea miaka hiyo ya 47
 
Back
Top Bottom