Nani Mmiliki wa AVIC Town Kigamboni

Nani Mmiliki wa AVIC Town Kigamboni

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,175
Reaction score
11,573
Wanajamvi kwa siku za hivi karibuni nimesikia watu wengi wakiiongelea sana hii project AVIC TOWN, Nimeisikia project hii hasa baada ya timu ya Yanga kuweka kambi huko kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya ligi.

Wanasema uwekezaji uliwekwa hapo si wa kimchezo mchezo, ni mji wa kisasa haswa kuna kila kitu kuanzia maduka, hoteli, appartment, viwanja vya michezo pia kuna kituo cha polisi kwa ajili ya ulinzi nk.

Pia nimesikia hawa jamaa ndiyo wamiliki wa Sea view na Osysterbay appartments.

Kesho waandishi wa habari wamealikwa kwenye Yanga Digital Day kwenye viunga hivyo.

Nani wamiliki wa hizi project?


bird.jpg
View attachment 1691726
 
Siku hizi za karibuni?

Avic town ya mda sana

Kama ulikuwa huijui wewe tu.

Watu wakishauziwa nyumba utakuja kuuliza Nani anamiliki?Inamiliki na walionunua nyumba.

Au ulitaka kujua kampuni iliyojenga na kuuza?
 
Ngoja na mimi nikaandike habari huko
 
Back
Top Bottom