kilaza mjanja
JF-Expert Member
- Jun 2, 2016
- 654
- 1,144
Mkuu fafanua kwani hapo sijakupata, mbona mmoja ndio anaonekana mtumishi mwingine ndio bosi?clouds ina wamiliki wawili.. joseph kusaga na ruge mutahaba..
hawa watu wanategemeana sana kuna mmoja mzuri sana kwenye kuweka hela.. na kuna mwingine mzuri sana kwenye kuzungusha hela izae...
na ndio maana amefanikiw... yeyote kati ya hapo akijitoa clouds inakufa kifo cha mende
Mkuu hapo umefafanua vizuri sana sema hujamalizia kipande kidogo, je Ruge ni mwajiriwa ama sehemu ya wamiliki? Na je nani ni nani?Clouds Media Groud ni Mali ya Kusaga's Family mwanzilishi wa Clouds Media ni Marehemu mzee Kusaga.. Joseph Kusaga anasimamia ... Ndio maana kwenye uongozi ipo ivi Joseph Kusaga.. Alafu Shebba Kusaga alafu wanafuata ao akina Ruge alafu kuna Alex Kusaga na God Kusaga.. Erick Kusaga alikuwepo ila wakamchanganya akaondoka yuko RFA.. Ova
Cv za zinakuwashia nini?wakuu wana jamvi kuna swala la msingi ambalo watu wengi wangependa kujua.
Hivi nani mmiliki halali wa clouds media group kati ya joseph kusaga na ruge mtahaba? pia ni vyema tungepata mahusiano yaliopo kati ya Clouds na FIESTA.
Tungependa kujua
CV zao
upatikanaji wa fedha za kuanzisha kampuni hilo
Mahusiano yao na wafanyakazi hapo
Nawasilisha
Ruge ni Mkurugenzi Mzalishaji Kwa kingereza ndio sijui sasa..mkuu hapo umefafanua vizuri sana sema ujamalizia kipande kidogo, je ruge ni mwajiriwa ama sehemu ya wamiliki? na je nani ni nan?
Ni Joseph kusaga na ni mwenyeji wa musoma Mara .....watu wa huko hawanaga mdomo sana huwa ni watu wa kudeliver halafu kimya....[emoji188] [emoji188] [emoji188]wakuu wana jamvi kuna swala la msingi ambalo watu wengi wangependa kujua.
Hivi nani mmiliki halali wa clouds media group kati ya joseph kusaga na ruge mtahaba? pia ni vyema tungepata mahusiano yaliopo kati ya Clouds na FIESTA.
Tungependa kujua
CV zao
upatikanaji wa fedha za kuanzisha kampuni hilo
Mahusiano yao na wafanyakazi hapo
Nawasilisha
Ruge kaajiriwa pale na katika kuajiriwa kashafungua mambo yake binafsi kama ThT house na Mkeka Sports Betting kwa lugha nyingine ni Mmiliki wa THT house, Mkeka Sports Betting .. Mengine yapo ni shareholder ila hapa sio mahala pakemkuu hapo umefafanua vizuri sana sema ujamalizia kipande kidogo, je ruge ni mwajiriwa ama sehemu ya wamiliki? na je nani ni nan?
Yakweli ShekheChombo cha TISS kile kwa ajili ya propagation.........
Hakuna cha Kusaga wala Ruge hapo, wote ni watumishi wa "inji hii" kupitia angle hio.
Yah mwaka huu kuna mtu mmoja maarufu aliniambia kuhusiana na hilo suala (ila yeye alisema ipo chini ya Serikali).Chombo cha TISS kile kwa ajili ya propagation.........
Hakuna cha Kusaga wala Ruge hapo, wote ni watumishi wa "inji hii" kupitia angle hio.
Afafanue basiYakweli Shekhe
Mimi nilikuwa najua ni waandaaji wa birthday part ya MkwereYah mwaka huu kuna mtu mmoja maarufu aliniambia kuhusiana na hilo suala (ila yeye alisema ipo chini ya Serikali).
Mkuu tufafanulie kiongozi kivipi hiyo inakuwa hivyo? Mbona wana TBCWatu wa tiss hao,