Mkuu, muhimu ni kuwa, chawa kasema MBAYA, mwenye mali kasema NZURI SANA. Ilikuaje kabla na baada sio muhimu kwasasa.....wamepishana kauli na kauli iliyotoka mwisho ni ya waziri, ndio kusema....?Katika asilimia za ukusanyaji wa mapato kwa ujumla Malinyi ni ya 142. Labda niulize kabla ya hapo Malinyi ilikuwa nafasi yangapi ili tuanzie hapa
Tulipofika hutakiwi kushangaa maana unaweza lala ukaamka ukakutana na gazeti uyo waziri kamsifia uyo mccmMkuu, muhimu ni kuwa, chawa kasema MBAYA, mwenye mali kasema NZURI SANA. Ilikuaje kabla na baada sio muhimu kwasasa.....wamepishana kauli na kauli iliyotoka mwisho ni ya waziri, ndio kusema....?
Naona huu mtindo unazidi kushamiri, alianza IGP sio?
Tumwamini nani sasa?Usimuamini mfuasi wa ccm hata siku moja
Hata Kafulila alisifiwa wakati wa uapisho uliofanyika ikulu kabla ya huu. Akaambiwa akaze kamba na aendelee kuwashughulikia waliokula hela zake za uviko. Lkn sasa ametumbuliwa.Naona huu mtindo unazidi kushamiri, alianza IGP sio?
That's ALL..Usimuamini mfuasi wa ccm hata siku moja
Kama huyo Mkurugenzi Mtendaji alikuwa akikwazwa na DC wake kwenye utendaji wake bado hakustahili hizo sifa za Rais?Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo.
Mh. Rais alisema Mkurugenzi huyo amefanya vizuri sana katika utendaji kazi wake kwa ujumla na sifa nyingine kibao.
Leo Mh. Bashungwa (Waziri wa TAMISEMI) ametoa taarifa ya utendaji kazi wa Halmashauri zote nchini ambapo Halmashauri hiyo ya Malinyi haina sifa yoyote iliyostahili kupewa na Rais. Taarifa ya Bashingwa inaonesha kuwa;
Katika asilimia za ukusanyaji wa mapato kwa ujumla Malinyi ni ya 142. Katika wingi wa mapato ni 119. Katika kutoa mikopo ya wanawake, vijana na wenye ulemavu ni ya 96 na wala haijatoa 10% kama sheria inavyotaka.
Katika kujibu hoja za CAG ni ya 45 na tathmini ya jumla ya utendaji kazi Malinyi ni ya 103.
Sasa najiuliza Rais Samia alitumia kigezo gani kuimwagia sifa Malinyi na kuziacha Halmashauri nyingine zilizofanya vizuri zaidi. Au alidanganywa na vyanzo vyake?
Rais haoni kama anatengeneza mazingira ya sisi kutokuamini maneno yake mengine maana tutahisi yamejaa uongo?
Kauli ya Rais ni nzito yenye mamlaka na ya kuaminika, so asivunje sifa hiyo kwa sababu zozote zile.
Naisubiri pia!Bila picha ya Binti Mkurugenzi mambo hayaendi.
ID yako imenishangaza. Imebidi nijiridhishe kama sijadukuliwa.Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo.
Mh. Rais alisema Mkurugenzi huyo amefanya vizuri sana katika utendaji kazi wake kwa ujumla na sifa nyingine kibao.
Leo Mh. Bashungwa (Waziri wa TAMISEMI) ametoa taarifa ya utendaji kazi wa Halmashauri zote nchini ambapo Halmashauri hiyo ya Malinyi haina sifa yoyote iliyostahili kupewa na Rais. Taarifa ya Bashingwa inaonesha kuwa;
Katika asilimia za ukusanyaji wa mapato kwa ujumla Malinyi ni ya 142. Katika wingi wa mapato ni 119. Katika kutoa mikopo ya wanawake, vijana na wenye ulemavu ni ya 96 na wala haijatoa 10% kama sheria inavyotaka.
Katika kujibu hoja za CAG ni ya 45 na tathmini ya jumla ya utendaji kazi Malinyi ni ya 103.
Sasa najiuliza Rais Samia alitumia kigezo gani kuimwagia sifa Malinyi na kuziacha Halmashauri nyingine zilizofanya vizuri zaidi. Au alidanganywa na vyanzo vyake?
Rais haoni kama anatengeneza mazingira ya sisi kutokuamini maneno yake mengine maana tutahisi yamejaa uongo?
Kauli ya Rais ni nzito yenye mamlaka na ya kuaminika, so asivunje sifa hiyo kwa sababu zozote zile.
Kuna takwimu pamoja na uhalisia wake lakini sio kigezo cha perfomance ya Wilaya husika. Yaani kusema kua Wilaya ni ya 119 kwa ukusanyaji mapato haimaniishi Wilaya imefanya vibaya.Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo.
Mh. Rais alisema Mkurugenzi huyo amefanya vizuri sana katika utendaji kazi wake kwa ujumla na sifa nyingine kibao.
Leo Mh. Bashungwa (Waziri wa TAMISEMI) ametoa taarifa ya utendaji kazi wa Halmashauri zote nchini ambapo Halmashauri hiyo ya Malinyi haina sifa yoyote iliyostahili kupewa na Rais. Taarifa ya Bashingwa inaonesha kuwa;
Katika asilimia za ukusanyaji wa mapato kwa ujumla Malinyi ni ya 142. Katika wingi wa mapato ni 119. Katika kutoa mikopo ya wanawake, vijana na wenye ulemavu ni ya 96 na wala haijatoa 10% kama sheria inavyotaka.
Katika kujibu hoja za CAG ni ya 45 na tathmini ya jumla ya utendaji kazi Malinyi ni ya 103.
Sasa najiuliza Rais Samia alitumia kigezo gani kuimwagia sifa Malinyi na kuziacha Halmashauri nyingine zilizofanya vizuri zaidi. Au alidanganywa na vyanzo vyake?
Rais haoni kama anatengeneza mazingira ya sisi kutokuamini maneno yake mengine maana tutahisi yamejaa uongo?
Kauli ya Rais ni nzito yenye mamlaka na ya kuaminika, so asivunje sifa hiyo kwa sababu zozote zile.
Tumeshuhudia Kauli za Magufuli zikuwa za UONGOWakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo.
Mh. Rais alisema Mkurugenzi huyo amefanya vizuri sana katika utendaji kazi wake kwa ujumla na sifa nyingine kibao.
Leo Mh. Bashungwa (Waziri wa TAMISEMI) ametoa taarifa ya utendaji kazi wa Halmashauri zote nchini ambapo Halmashauri hiyo ya Malinyi haina sifa yoyote iliyostahili kupewa na Rais. Taarifa ya Bashingwa inaonesha kuwa;
Katika asilimia za ukusanyaji wa mapato kwa ujumla Malinyi ni ya 142. Katika wingi wa mapato ni 119. Katika kutoa mikopo ya wanawake, vijana na wenye ulemavu ni ya 96 na wala haijatoa 10% kama sheria inavyotaka.
Katika kujibu hoja za CAG ni ya 45 na tathmini ya jumla ya utendaji kazi Malinyi ni ya 103.
Sasa najiuliza Rais Samia alitumia kigezo gani kuimwagia sifa Malinyi na kuziacha Halmashauri nyingine zilizofanya vizuri zaidi. Au alidanganywa na vyanzo vyake?
Rais haoni kama anatengeneza mazingira ya sisi kutokuamini maneno yake mengine maana tutahisi yamejaa uongo?
Kauli ya Rais ni nzito yenye mamlaka na ya kuaminika, so asivunje sifa hiyo kwa sababu zozote zile.
Weka hapa pdf tujionee..Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo.