›Don Williams ... Kwangu yupo damuni sana kuliko kiumbe kingine chochote katika country music...
›Kenny Rogers... Atafuata...
Ila wote ni wazuri kwangu... Wana Sauti za kipekee... Haitaji hata shilling kujua kuwa huyu ni Don na huyu ni Kenny wakati wakiimba.
~Don ... Kwangu naona amejikita zaidi katika mapenzi(Senorita, I believe in You, If i needed in You, I just Come here for the Music, I would like to see you again) ukilinganisha na...
~Kenny ... ambaye amejitahidi kujikita kwenye mapenzi na maisha kiujumla(mfano: Coward of the County, The Gambler, Lucille, Green Green Grass of Home, Evening Strar, The Greatest, You can't Make Old friend)
Ila kinachonishangaza hawa watu... Binafsi cjawahi ona wakiimba pamoja.
View attachment 377952
View attachment 377953