Nani mkali? Kenny Rogers & Don Williams!

Huwezi kuwafananisha hawa pamoja na kwamba wote wanaimba country nani mkali inategemea Mudi yako wakati unawasikiliza don katulia zaidi ukiwa na mawazo anafaa na kiuzingizi kwa mbaali au ukiwa safarini use msikilizaji ukiwa dereva utatia gari mtaroni ila Kenny anafiti kote amechangamka kidogo vyovyote poa tu.
 
kabisa mkuu, nakubaliana na wewe
 
Kwangu mimi mkali ni Kenny rogers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…