Nani Mkali kati ya Diamond na Chris Brown?

Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.

Hebu tuseme ukweli bila Chuki...

Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
KumfananisHa Criss Brown Na Diamond Ni Sawa Na Kufananisha Kitambi na Mimba
 
Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.

Hebu tuseme ukweli bila Chuki...

Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
hujui mziki kabisa mkuu...how diamond na C.brown?au umetoka usingizini ukakurupuka kwenye jamii forum
 
Eminem na nani sasa? labda na FidQ, sidhani kama huyo Eminem atawafikia kina Profesa Jay na Mr. Two kwa sasa jamaa wanavuta mpunga kibao bungeni kwa sasa?
Unajua ili Eminem aimbe wimbo mmoja kwenye show anatoza bei gani?
 
Chris Brown kwa Ali Kiba tu aingii ndio atamuweza Diamond!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom