Nani Mkali kati ya Diamond na Chris Brown?

Eminem na nani sasa? labda na FidQ, sidhani kama huyo Eminem atawafikia kina Profesa Jay na Mr. Two kwa sasa jamaa wanavuta mpunga kibao bungeni kwa sasa?
Yaani Sugu na Jay wanavuta mpunga kuliko Eminem!!?
Utakuwa unatania!.
 
Ndiyo mkuu, huna habari kuwa wameshinda ubunge hawa?

kwa taarifa yako Jay ni mbunge wa mikumi na Mr. 2 ni wa Mbeya mjini.
Eminem yeye si atakuwa anategemea show tu? na recently hana hata kibao kinachovuma.
 
Duuuuh!!...Haya bhana.
 
Huo mfano wake sawa na kusema eti samata na mess wa Barcelona nan zaid ya mwenzake nijibu rahis mtoto wa chekechea anajibu hilo
Aubameyang ni zaidi ya samatta messi ni zaidi ya aubameyang messi na samatta????????????????
 
Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.

Hebu tuseme ukweli bila Chuki...

Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?

Dimond anaimba mchiriku na Chris brize anaimba rnb sasa nashindwa kukuelewa unataka kulinganisha vx v8 sahara na Toyota duet??
 
Ok msisahau kwa wale wenye ujenz Mr aluminium glass npo hapa wasiriana nas +255 654 069 041
 
Aubameyang ni zaidi ya samatta messi ni zaidi ya aubameyang messi na samatta????????????????
Acha hizo wewe, kutokana kombe la mapinduzi, nani zaidi ya mwenzake kati ya simba, mtibwa na ura?
Simba kaifunga ura moja bila, mtibwa kaifunga simba moja bila na ura kaifunga mtibwa tati moja!
 
Kule ilikuwa messi na samatta hapa kwenye vilabu unashindanisha kilabu ipi na ipi?Sijakusoma?
 
Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.

Hebu tuseme ukweli bila Chuki...

Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?

diamond amefanya vizuri, lakini hajamfikia Chriss Brown.....Kwa sababu Chriss Brown Yuko mbali sana, yani ingekuwa marks me ningetoa 20% kwa diamond na 80% Chris Brown....Jaribu kucheki show za Chris Brown, Halafu Cheki Show za Diamond! Utajua nini nasema
 
Back
Top Bottom