Ndugu zangu wa hili jukwaa mimi huwa nacheka sana kwa jokes zenu,kweli mnafanya siku yangu iende vizuri,ahsanteni sana.Ila mi ningependa utaje watu wako ambao huwa kwenye hili jukwaa unafurahi ukiona jokes zao.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us