Nani mbulula?

Nani mbulula?

happiness win

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
2,461
Reaction score
1,394
Mchaga alimkopesha mpare pesa shahidi akiwa Msambaa. Muda wa kulipa deni ulipofika Mpare kwa Ubahili wake akaamua kujiua ili asilipe deni. Mchaga nae kuona hivyo kwa kupenda pesa akaamua kujiua ili akamdai mpare huko huko....! Msambaa "Tate nanee! Aloo lazima nikashuhudie huu ugonvi.. Msambaa kwa kupenda umbea nae akajiua ili akashughudie ugonvi.

Je, kati ya hao watatu nani Mbulula?
 
Hahahahahaha msambaa bana ndo mnoku umbea utawatoa watu roho jaman loooh nataman wambea wote waungane na msambaa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Woote mamburura aliyekopa mdai na shahidi dawa ya deni kulipa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mpareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
acha msambaa afe cumbea yawezekana wenzake wamezimia tu wataamka lakin yeye ndo mazima hivyooo....!
 
Haina ladha aisee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom