Nani mbaya

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,134
2,010
Nchi yetu imekuwa ikichechemea kwa mda mrefu sana sasa watu wanaanza kutupiana lawama kwamba nani amesababisha tumefika hapa. Jambo la kufika mahala tulipo kila mmoja wetu anahusika kusema na kuonyesha kuwa nani anahusika hakusaidii kitu chochote bali kitendo cha kutupiana lawama kinaonyesha ni jinsi gani bado tunashindwa kukubaliana ukweli kwamba tunatumia sana hisia na upendeleo katika maamuzi yetu. Matendo ndio yatakayotatua matatizo yetu hata siku moja hamna mtu ambaye anaweza akatumia maneno kwa kuongea akafanya jambo likakamilika. Wahenga wanasema maneno hayaumbi.

Tufanye vitendo afu tuone jinsi tutakavyokubaliana na matokeo yatakayotokana na vitendo hivyo tukumbuke mvumilivu hula mbivu.
 
unafiki ni mbaya yaan mleta uzi anajidai hajui waliotufikisha hapa ni nani halaf anataka wote tubebe hio lawama
 
Back
Top Bottom