Nani mama wa mtoto huyu?

Mtoto ni wa Mama A. Kwa sababu
1. Mtoto anajiamini sana kumpa mgongo mama yake kwani anaamini kuna usalama. Mtoto macho yake yanamwelekea asiye mama yake incase kuna madhara akimbilie kwa mama yake ambaya ni A na hivyo kufanya jumla ya macho yanayomwangalia asiye mama kuwa 4 (2 ya mama na mawili ya mtoto).
 
mara nyingi mtoto anapenda kucheza mbele mgeni ili wamuone jinsi alivyo mahili.,au Unasemaje hapo
 
Kwa kuangalia sitting posture ya B anaonekana kama ni mtu mwenye wasiwasi na mnyenyekevu na ndiye mama wa mtoto.

Anasikikiza maelekezo kwa A ambaye anaonekana amevaa kiofficial na posture yake ni ya kisomi/ mandate/confidence. Akitoa maelekezo kwa mama wa mtoto.
 
Umetoa sababu genuine ya mzazi, kwa mtu ambaye amewahi kuzaa/kulea atakubaliana na reasoning yako. Kwa kawaida mtoto huwa very attentive na stranger na hivyo hawezi kumpa mgongo. Naunga mkono mama wa mtoto ni A.
 
B ndie mama mtoto, angalia the way amekaa kwenye kiti na miguu yake alivyoiweka, yupo attention incase jambo lolote likitokea kwa mtoto inakua rahisi kumfikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…