johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 86,233
- 146,642
Kamanda naona umechoka kupiga ramliTuwaachie kamati kuu
Naibu Spika angepewa huyo huyo TULIA ili awe na VYEO VYOTE maana ana TamaaMkeka wa Spika ndio umekamilika ambapi utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.
Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazu.
Nani atatufaa?
Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?
Maendeleo hayana vyama.
ZunguMkeka wa Spika ndio umekamilika ambapi utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.
Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazu.
Nani atatufaa?
Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?
Maendeleo hayana vyama.
Safi sanaKama katiba inaruhusu tuendelee na huyu huyu aliyopoView attachment 2089844
Kwani Hangaya hajachagua bado! Maana katiba hii inamfeva yy alitakalo ndiloMkeka wa Spika ndio umekamilika ambapi utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.
Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazu.
Nani atatufaa?
Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?
Maendeleo hayana vyama.
Hiyo hata wakimpa Msukuma ni sawasawa....!!Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapi utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.
Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazu.
Nani atatufaa?
Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?
Maendeleo hayana vyama.
Au KibajajiHiyo hata wakimpa Msukuma ni sawasawa....!!
NdugaiMkeka wa Spika ndio umekamilika ambapi utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.
Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazu.
Nani atatufaa?
Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?
Maendeleo hayana vyama.
Itapendeza sana!Ndugai
Ni bunge la Jamhuri ya muungano.Bwashe hili siyo Baraza la Wawakilishi. Zanzibar inakujaje?🤣
Kweli kabisa bwashee!Ni bunge la Jamhuri ya muungano.
Mbona tuna mawazili toka zenji wapo muungano
Wale ni visitors!Ni bunge la Jamhuri ya muungano.
Mbona tuna mawazili toka zenji wapo muungano