Nani kurithi deni la taifa baada ya katiba mpya?

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,128
1.Serikali ya jamhuri ya muungano tunadaiwa deni kubwa.
2.pesa za deni hilo zilitumika bara na visiwani
3.kwa sasa serikaali ya muungano ndio wanalipa.
4.je nani atalipa deni la sasa kwa mapendekezo ya serikali tatu????
IKUMBUKWE.
(i)Warioba kasema serikali ya muungano haitakopa,kwa maana nyingine haitakuwa/haipaswi kuwa na deni.

(ii)baadhi ya mambo yaliyogharamiwa na serikali ya jamhuri ya muungano HAYATAMBULIWI NA RASIMU YA KATIBA MPYA.hapa itakuwa ngumu serikali ya muungano kurithi deni la mambo yasiyotambulika ktk serikali ya muungano.
(iii)TANGANYIKA JE?Zanzibar je?watarithi vipi deni hili?HATA HAPA KUNA UTATA.
 
Kwa kuwa kutakuwa na serikali mbili ambazo zilikuwa ndani ya serikali moja basi hili deni hatuna budi kuligawana Pari pasu! Patamu hapo mkuu manake Wazenji watataka kuruka kimanga lakini hiyo kamba wanayo shingoni!
 
kila kitu wataridhi cdm, relax!
 
Wakati mwingine tunapoounda Tume ya Katiba, ni vyema wangeweka na watu wa kada mbali mbali sio kujaza wanasheria tu. Kuna mambo mengi sana yanajichanganya

1. Wasasema suara la fedha litakuwa la Muungano

2. Hapo hapo wanasema Serikali ya Muungano haitakopo?

3. Na hili sasa, deni la nyuma linakwenda kwa nani?

1.Serikali ya jamhuri ya muungano tunadaiwa deni kubwa.
2.pesa za deni hilo zilitumika bara na visiwani
3.kwa sasa serikaali ya muungano ndio wanalipa.
4.je nani atalipa deni la sasa kwa mapendekezo ya serikali tatu????
IKUMBUKWE.
(i)Warioba kasema serikali ya muungano haitakopa,kwa maana nyingine haitakuwa/haipaswi kuwa na deni.

(ii)baadhi ya mambo yaliyogharamiwa na serikali ya jamhuri ya muungano HAYATAMBULIWI NA RASIMU YA KATIBA MPYA.hapa itakuwa ngumu serikali ya muungano kurithi deni la mambo yasiyotambulika ktk serikali ya muungano.
(iii)TANGANYIKA JE?Zanzibar je?watarithi vipi deni hili?HATA HAPA KUNA UTATA.
 
Kwa kuwa kutakuwa na serikali mbili ambazo zilikuwa ndani ya serikali moja basi hili deni hatuna budi kuligawana Pari pasu! Patamu hapo mkuu manake Wazenji watataka kuruka kimanga lakini hiyo kamba wanayo shingoni!

yabujuu the one spend more will pay more
si kila mkopo mnauelekeza tanganyika kujengeaa nchi yenu .zanzibar tumeaza kupewa miaka kama sita tu ilopita tena 4.5%
ukitoa gawio letu kama faida ya BOT miaka 40 ambalo mlichakachua zanzibar inabakia haina deni......ndo mana warioba hakugusia hilo
TUKISEMA HATUKI MUUNGANO HUU tunajua positive na negative consequences kwa zanzibar ....
hata tukiyumba mwazoni tuna imani 95% baada ya muda tu takuwa stable
ukiona inangaraaaa inangaria chumbeeee
 
kuna jamaa mmoja huku amesama CDM itachukua nchi...so we have to relax! Mimi nakubaliana nae kwamba Tuwakabidhi CDM hii Nchi kama hatujaona ukurasa mpya ndani ya dakika chache. Kwanza network itakua bussy kila saa kisa taarifa mpya kila baada ya dakika moja na zote ni za kuibadili system na kusweka ndani wadhalimu woooooooooooooote .
 
sio madeni ya nje hata ya umeme ambayo zanzibar walikuwa hawalipi itabidi walipie kila mtu atakula kwa jasho lake na ardhi yetu wairudishe
 
Makaburi ya akina nyerere na karume inabidi twende na bakora tukayapige mpaka vumi litimuke kwa sababu ndo waliotungiza kwenye matatizo haya.
Wamefanya akili za watawala zishindwe kufanya kazi mpaka wanashindwa kutoa maamuzi sahihi. Eti mambo saba yaundiwe serikali! Huu si ujinga tena bali ni upumbavu!
 
1.Serikali ya jamhuri ya muungano tunadaiwa deni kubwa.
2.pesa za deni hilo zilitumika bara na visiwani
3.kwa sasa serikaali ya muungano ndio wanalipa.
4.je nani atalipa deni la sasa kwa mapendekezo ya serikali tatu????
IKUMBUKWE.
(i)Warioba kasema serikali ya muungano haitakopa,kwa maana nyingine haitakuwa/haipaswi kuwa na deni.

(ii)baadhi ya mambo yaliyogharamiwa na serikali ya jamhuri ya muungano HAYATAMBULIWI NA RASIMU YA KATIBA MPYA.hapa itakuwa ngumu serikali ya muungano kurithi deni la mambo yasiyotambulika ktk serikali ya muungano.
(iii)TANGANYIKA JE?Zanzibar je?watarithi vipi deni hili?HATA HAPA KUNA

wataolipa wanajijua iyo haina mjadala. ni wale wale vinganganizi vya muungano walioambiwa na mtume wao muungano ukifa na wao watakufa
 
Hapo hakuna ujanja,Tanganyika tutalipa madeni yote wao wakae kwa amani.
Ges,mafuta na dhahabu zinaweza kulipa madeni yote.uranium na yale Madini ya kutengenezea lcd na led,tanzanite sijazungumzia

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Makaburi ya akina nyerere na karume inabidi twende na bakora tukayapige mpaka vumi litimuke kwa sababu ndo waliotungiza kwenye matatizo haya.
Wamefanya akili za watawala zishindwe kufanya kazi mpaka wanashindwa kutoa maamuzi sahihi. Eti mambo saba yaundiwe serikali! Huu si ujinga tena bali ni upumbavu!
Ha ha ha!
imetulia.
 
Warioba kasema serikali haitakopa habar ya kusema haipaswi kua na deni umesema ww hajasema warioba.. Kwa uono wangu mimi serikali ya shirikisho(kama ikipita) lazima itaridhi Liabilities za iliyokua JMT unless utuambie hapa ibara gan ya RASIMU inakataa kuhusu shirikisho kutoridhi liabilities za Muungano na kati hizo liabilities maden ni moja wapo.. Simple LOGIC!
 
muungano wa nchi 2! Therefore deni gawa kwa 2 ! hence problem solved!
 
Kwa kuwa kutakuwa na serikali mbili ambazo zilikuwa ndani ya serikali moja basi hili deni hatuna budi kuligawana Pari pasu! Patamu hapo mkuu manake Wazenji watataka kuruka kimanga lakini hiyo kamba wanayo shingoni!
Hakuna cha pasu pasu Mimi naona mali zote za magamba zipigwe mnada na deni lilipwe maana wao ndio walikopa badala ya kuleta miradi ya maendeleo ambayo ingeingiza kipato cha kulipia deni walianzisha miradi ya ccm, kutumia pesa kupigia kampeni na zingine kuficha uswiss, CCM must be held responsible for this! wao ndio wametawala kwa miaka yote watueleze walikopa kufanyia nn??
 
Kuna kazi kubwa mpaka kieleweke Tanzania.. Ila nusra ipo karibu naamini hvyo
 
1.Sasa BoT zanzibar itakua chin ya muungano? Na kama chini ya muungano kwa hiyo kutakua na mlingonyo wa kiusawa wa wafanyakaz kati ya wabara na visiwani? Kama hivyo ndivyo itakua hadi tz bara?

2. Wanafunzi wa kiznzbar wanaokuja kusoma hapa bongo watakua wanachukuliwa kama foreigner kwa maana fees yao itakua tofauti?

3. Vipi kuhusu waliokopa mkopo wa bodi ya elimu ya juu?

Waungwana naombeni majibu, mnifahamishe kwa hili.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kwa kuwa kutakuwa na serikali mbili ambazo zilikuwa ndani ya serikali moja basi hili deni hatuna budi kuligawana Pari pasu! Patamu hapo mkuu manake Wazenji watataka kuruka kimanga lakini hiyo kamba wanayo shingoni!
Mkuu una roho mbaya kama mbeba sumu.
Yani jamaa tugawane mzigo kama vile wanavyodai haki sawa au sio hahahahahhj!
 
Back
Top Bottom