Nani kurithi deni la taifa baada ya katiba mpya?

Anywa,
Kuna kitu kinaitwa defaulting, tunaweza kuamua kutolipa vile vile
Kosa la marehemu hilo.... hakuna kesi hapo
 
1.Serikali ya jamhuri ya muungano tunadaiwa deni kubwa.
2.pesa za deni hilo zilitumika bara na visiwani
3.kwa sasa serikaali ya muungano ndio wanalipa.
4.je nani atalipa deni la sasa kwa mapendekezo ya serikali tatu????
IKUMBUKWE.
(i)Warioba kasema serikali ya muungano haitakopa,kwa maana nyingine haitakuwa/haipaswi kuwa na deni.

(ii)baadhi ya mambo yaliyogharamiwa na serikali ya jamhuri ya muungano HAYATAMBULIWI NA RASIMU YA KATIBA MPYA.hapa itakuwa ngumu serikali ya muungano kurithi deni la mambo yasiyotambulika ktk serikali ya muungano.
(iii)TANGANYIKA JE?Zanzibar je?watarithi vipi deni hili?HATA HAPA KUNA UTATA.

Unauliza jibu? waliokopa ni watanganyika zanzibar hamkuturuhusu hata kuzungumza na wakopeshaji kwa kujifanya wakoloni weusi. Mungu atailipa tanganyika hapa duniani kabla ya akhera, it is time to suffer looooooooooooooooser
 
Kila upande walichofaidika nacho watalipa. Ugumu unauona wewe na kwa Wazanzibari wasioelewa. Wao wako mil 1 na Tanganyika 42 kama deni ni til 200 basi wao watalipa til 1.6 kulingana ns walichonufaika wakikataa tunawapiga makofi wale.
 
1.Serikali ya jamhuri ya muungano tunadaiwa deni kubwa.
2.pesa za deni hilo zilitumika bara na visiwani
3.kwa sasa serikaali ya muungano ndio wanalipa.
4.je nani atalipa deni la sasa kwa mapendekezo ya serikali tatu????
IKUMBUKWE.
(i)Warioba kasema serikali ya muungano haitakopa,kwa maana nyingine haitakuwa/haipaswi kuwa na deni.

(ii)baadhi ya mambo yaliyogharamiwa na serikali ya jamhuri ya muungano HAYATAMBULIWI NA RASIMU YA KATIBA MPYA.hapa itakuwa ngumu serikali ya muungano kurithi deni la mambo yasiyotambulika ktk serikali ya muungano.
(iii)TANGANYIKA JE?Zanzibar je?watarithi vipi deni hili?HATA HAPA KUNA UTATA.

mkuu, muungano ni wa nchi mbili zilizokuwa na mamlaka sawa. kwa hiyo deni ni pasu kwa pasu haina mjadala hiyo. si nasikia kuna wese limepatikana zenji. watalipa tu.
 
Back
Top Bottom