Dogo Tundu
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 448
- 189
Siyooooooooooo! Salim hatagombea tena since JK amfanyie rafu 2005 na refa kutoiona ile rafu aliishajiuzulu mchezo wa kugombea ile nyumba ya magogoni.DR Salim A Salim kugombea,naomba kutoa hoja!Wanaoafiki waseme ndiyooooooooo!
Maana kusema ukweli mpaka hivi sasa hatuoni mtu yeyote wala dalili yeyote kama ilivyokua wakati kikwete akitarajiwa kuingia na jinsi mambo yalivyo tight,sijui nani atafaa?
kama unajua tafadhali niambie
Waziri Mkuu Profesa Maji Marefu...Atagombea Livingstone Lusinde
kwanza toa magamba ili tuuone mti vizuri maana umeuliza swali ambalo limechanganyika na uchafu kwa hiyo toa magamba swali litaonekana vizuritukiwa tunafanya maandalizi ya kupata rais 2015 unahisi nani anafaa kati ya hawa kuwa rais.
1. Edward lowassa
2. John pombe magufuli
3. Wilbroad slaa
4. Asha rose migiro
5. Freeman mbowe
6.ibrahim lipumba
7. January makamba
8. Bernard membe
9. Mizengo peter pinda
10. Dovutwa dovutwa