Nani kiboko kati ya hawa wawili?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani kiboko kati ya hawa wawili??

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 27, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Mastar wa kibongo hao nani kiboko ya mwenziwe. mkuu Boflo???????????????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wote hovyo. Walikosa malezi ya msingi na hivyo ni vyanguuu wa kawaida ambao hawajui hata wanachofanya zaidi ya kuishi kama hayawani. Wanapaswa kuhurumiwa. Maana wanateseka. Hali itakuwa ngumu watakapofikia umri wa utu uzima wakijikuta hawawezi kuwa na familia wala staha. Hawa faida yao ni kwamba ni somo kwa vijana wengine wanaopenda kuishi maisha ya heshima na furaha.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Na hawa wawili je nani kiboko ya mwenziwe? Mkuu Father of All?

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Nani ni Mkali ?[​IMG]
   
 5. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  mtihani. ila nimependa hicho kikuku
   
 6. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  juu ya madudu yote ya Wema ,Lulu anaachwa chini!
   
 7. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  kila mmoja ameshachagua hatma ya maisha yake kwani wameshaamua kuwa wataendelea kuwa vijana maisha yote!
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ndumbayeye Umekipenda hicho Kikuku cha mguuni mwa Irene Uwoya?????? Je hizo Bangili za Jackline wolper ? Kwa Macho yangu mimi ninaona wanashindana hawa wote 2 ngoma itakuwa ni Droooooo
   
 9. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mh hawa binadamu wanafanana saana!!!
  Nasikia hawapatani sana, si ajabu ni ndugu ila hawajijui...!!!

   
 10. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mimi niko tofauti kidogo na mawazo yako,
  unajua huu uchokoraa mademu wengi sana wanaufanya kwenye maisha ya kawaida mitaani, vyuoni etc
  ila tatizo hawa ni maarufu ndio inakuwa highlighted,

   
 11. h

  haf2006 Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kimsingi kuwa star ktk tasnia ya sanaa ni pamoja na kuwa Unique and Distinguishable among others. suala hili la watu kumuona msanii fulani ni star ni relative, kwani utakavyomuona msanii fulani kuwa ni star sivyo ambavyo kongosho anavyoweza kumgrade.

  Kwa wasanii walio wengi hususani wa kike hapa bongo wao kwao kuwa star ni kuonekana umevalia mavazi fulani yatakayokuwa gumzo kwa watu na mara nyingi ni mavazi yasiyo na maadili kwa sehemu kubwa ya jamii.

  Ni vema wkajifunza kuwa star kutokana na maudhui ya kazi zao. haf2006
   
 12. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Mi naona hao ni mamba sio kiboko.
   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Producst of broken family
   
 14. conveter

  conveter Senior Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wamefanana
   
 15. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu kati ya hawa wawili hakuna kiboko, hawa wote ni binadamu.
   
Loading...