Nani katufundisha Watanzania ' Ushamba ' huu?

Kuchekelea na kushangalia Nissan yake sio tatizo,ushamba ni pale ambapo ataanza kujisifia kuwa ni yeye Tu ndio analo gari la aina hiyo na Inawezekana hata bado amepanga, wakati kuna wengine wana nyumba zenye thamani zaidi ya hilo gari na wako kimya wanaendelea na maisha yao bila kelele sababu Nissan kwao si kipaumbele.
Bado suala la kusema ni ushamba ni subjective.
Mimi nikiwa na uwezo wa kununua V8, nikiona kajamaa ambako hakakuwahi kuwa na gari, anachekelea na kushangilia kununua Nissan March ya umri wa miaka 10!

Hisia zangu za kijinga naona huyo ni mshamba, lakini kiukweli kapiga hatua mbele ya kimaendeleo binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ni ugonjwa mbaya sana. Imefikia mahali viongozi wetu wanafanya mambo for show.. si kwa maendeleo. Huo ni ushamba mkubwa.
Kuhusu suala la ndege nitapingana na ww.. ndege iliyoletwa juzi ni mpya kabisa, only tanzania na misri ndio wametoa order .. na tanzania wakapokea wakwanza..
Ethiopia wana fleet kubwa sana ya boeing 787 na 777x .
Ila bado hawajaagiza A220-300.. hawako kwenye list ya order za airbus.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nazani kitu cha muhimu Co sie kuwa wa kwanza kuwa na kitu fulan ama kufanya jambo fulan muhimu ni how icho kitu ama jambo Iinaleta tremendous benefits kwetu
 
Kuna ' Kautamaduni ' kama si ' Kajitabia ' naona kanaanza Kuzoeleka au Kuota mizizi hapa Tanzania ambako sasa tunaona kila jambo likifanyika nchini hasa likiwa ni la ' Kimaendeleo ' utasikia hao hao waliolifanikisha wakisema kuwa halijawahi kutokea au kufanyika katika nchi zingine nyingi za Afrika.

Kwani huwa tunapambana na Maendeleo yetu ili tushindane na Mataifa mengine Afrika na Duniani kote au tunajitahidi Kujiboresha Sisi wenyewe tu? Na je kuna faida yoyote ile ambayo nchi imeipata pale inapoanzisha Miradi mbalimbali ya Kimaendeleo na Kujitapa kuwa haipo katika nchi zingine barani Afrika?

Kuna Mtu mmoja ( Simkumbuki jina ila nikimkumbuka nitamtaja ) aliwahi kusema kuwa sijui kuna aina ya Ndege ambayo ipo njiani au sijui imeshakuja kwamba haiko nchi zingine zote barani Afrika bali ni Tanzania tu pekee wakati kumbe hapo nchini Ethiopia, kule Egypt na hata South Africa ' nimedokezwa ' kuwa wanazo tena Siku nyingi tu kuliko Sisi.

Nani katufundisha aina hii ya Ushamba / Umbwigira Watanzania ya kutaka Kujifananisha na kama vile Kushindana na Mataifa mengine ya Afrika hasa katika Miradi mbalimbali ya Kimaendeleo inayohusisha Mioundombinu, Usafirishaji na Nishati? Tafadhali naomba tujijenge Kwanza Sisi kama Sisi na tuache kutaka ' Mashindano ' na Mataifa mengine kwani haina faida yoyote Kwetu zaidi tu ya Kutuchoresha kwa waliotutangulia Kimaendeleo na ambao Wao siyo Wazungumzaji / Wapayukaji hovyo kama Sisi bali ni Watendaji zaidi.

Nawasilisha.
Kuna washamba flan hivi wamekuja na vioja wajiita MATAGA,
 
Hivi hako kandege hata kama kapo Tanzania tu, hakawezi kupokelewa na waziri na watu wengine wakaendelea na kazi zao?
 
*KIBURI* ni kati ya tabia ngumu sana kujigundua kama unayo au la.

Na kwa sababu ya ugumu wa kujigundua, ndio maana imeliza watu wengi

*Naweka hapa mambo kadhaa TUJIPIME SOTE KAMA TUNA DALILI ZA KIBURI AU LA:-*

*1. UKIONA, KILA UKIONYWA UNAKASIRIKA NA KUNUNA AU KUSUSA, HIYO NI DALILI KUBWA SANA YA MTU MWENYE KIBURI.*

- Yaani unaona karipio au onyo badala ya kuona tatizo lako, au hata ukiona tatizo lako huwezi kujizuia KUKASIRIKA AU KUNUNA UKIONYWA.

*2. UKIONA, KILA MKIKOSANA NA MTU, HUONI KOSA LAKO, UNAONA MAKOSA YA MWINGINE TU, HIYO NI DALILI KUBWA SANA YA MTU MWENYE KIBURI.*

- Kiburi siku zote NI KIDOLE KUKUONYESHA KOSA LA MWINGINE.

- Nilichojifunza, kwenye kila kwenye wawili au zaidi kukosana na kutokuelewana, kila mmoja ana mahali pa kujirekebisha, hakuna asiye na jambo la kujirekebisha

*3. UKIONA, KILA UNALOFANYA, UNATAKA KUJILINGANISH NA WENGINE, AU KILA WANACHOFANYA UNAJILINGANISHA NAO, HIYO NI DALILI KUBWA SANA YA MTU MWENYE KIBURI.*
- Kiburi siku zote KINATAKA WEWE UJIONE UKO JUU YA WENGINE....
Wewe mzuri zaidi ya wengine... Msomi zidi ya... Una pesa zaidi ya... Unafundisha zaidi ya... Unahubiri zaidi ya... Unaomba zaidi ya...

Siku zote "Wahesabu wengine kuwa bora..."

*4. UKIONA, KILA UNALOFANYA UNAFANYA KWA LENGO LA KUSHINDANA.*

- Unafanya jambo zuri ndio, lakini Adhma (Motive) yako ni mashindano, hata kama hujasema hivyo...

- Unafanya ili kumshinda fulani hata kama fulani hajui, yaani utoshelevu wako wa ndani sio kutimiza jambo fulani, bali ni kugundua KWA KUTIMIZA HILO UMEMSHINDA FULANI

*5. UKIONA, UNAPENDA KUSIFIWA KWA KILA UNALOFANYA, kwa lugha nyingine kuwa RECOGNIZED AND APPRECIATED.*

- Kutambulika na kushukuriwa (to be recognized and appreciated) si jambo baya kabisa, lakini ukiona ukikosa hicho kitu unakosa amani kabisa na unatumia gharama yoyote utambulike na kushukuriwa, HICHO NI KIBURI KINAKUSUKUMA.

*6. UKIONA, KILA ZURI UNALOLIFANYA SIRINI, UNATAKA LIJULIKANE NA WATU HATA KAMA SI MUHIMU KWAO na si kwa lengo la KUJIFUNZA, hiyo ni dalili ya KIBURI.*

- Ukiomba, hauridhiki mpaka watu wajue uliomba, UKIFUNGA, mpaka watu wajue ulifunga au huwa unafunga, UKIFANYA JAMBO ZURI KWA MUNGU WAKO, mpaka watu wajue ndio unasikia kuridhika... Kinachokusukuma ndani ni KIBURI.

*7. UKIONA, HAUKO HURU(COMFORTABLE) KABISA KUTUMIA LUGHA YA PAMOJA(tuta.., tume..) UNAPENDA ZAIDI KUTUMIA LUGHA YA BINAFSI (Nita.., nime.. ) UNAPOONGELEA MAMBO AU UMILIKI WA VITU, hiyo yaweza kuwa dalili ya KIBURI.*

- Hupendi kutumia lugha kama, vitu vyetu, jambo letu, huduma yetu... Sisi... nk, unapoongelea jambo ambalo na wengine wana mchango hata kama ni mdogo sana, hasa kama mwewe ni muanzilishi wa jambo au una mchango mkubwa juu ya jambo.

Kumbuka *"KIBURI HUTANGULIA ANGUKO"*

Lakini pia, *"KIBURI HUTANGULIA MAUTI"*

EE MUNGU UTUPONYE NA TABIA YA KIBURI.

Yaani hapa ni kama namuomba mzee baba kabisa.
 
Kuna ' Kautamaduni ' kama si ' Kajitabia ' naona kanaanza Kuzoeleka au Kuota mizizi hapa Tanzania ambako sasa tunaona kila jambo likifanyika nchini hasa likiwa ni la ' Kimaendeleo ' utasikia hao hao waliolifanikisha wakisema kuwa halijawahi kutokea au kufanyika katika nchi zingine nyingi za Afrika.

Kwani huwa tunapambana na Maendeleo yetu ili tushindane na Mataifa mengine Afrika na Duniani kote au tunajitahidi Kujiboresha Sisi wenyewe tu? Na je kuna faida yoyote ile ambayo nchi imeipata pale inapoanzisha Miradi mbalimbali ya Kimaendeleo na Kujitapa kuwa haipo katika nchi zingine barani Afrika?

Kuna Mtu mmoja ( Simkumbuki jina ila nikimkumbuka nitamtaja ) aliwahi kusema kuwa sijui kuna aina ya Ndege ambayo ipo njiani au sijui imeshakuja kwamba haiko nchi zingine zote barani Afrika bali ni Tanzania tu pekee wakati kumbe hapo nchini Ethiopia, kule Egypt na hata South Africa ' nimedokezwa ' kuwa wanazo tena Siku nyingi tu kuliko Sisi.

Nani katufundisha aina hii ya Ushamba / Umbwigira Watanzania ya kutaka Kujifananisha na kama vile Kushindana na Mataifa mengine ya Afrika hasa katika Miradi mbalimbali ya Kimaendeleo inayohusisha Mioundombinu, Usafirishaji na Nishati? Tafadhali naomba tujijenge Kwanza Sisi kama Sisi na tuache kutaka ' Mashindano ' na Mataifa mengine kwani haina faida yoyote Kwetu zaidi tu ya Kutuchoresha kwa waliotutangulia Kimaendeleo na ambao Wao siyo Wazungumzaji / Wapayukaji hovyo kama Sisi bali ni Watendaji zaidi.

Nawasilisha.
GENTAMYCINE THE GREAT, "Ushamba ni mzigo mzito"unawaelemea wengi sana
 
Kuna washamba flan hivi wamekuja na vioja wajiita MATAGA,

Na tunao wengi tu hapa Jamvini Mkuu. Bado hujawaona tu? Pitia vyema posts katika Uzi huu huu wangu utawaona wamejaa tele!
 
Kuna ' Kautamaduni ' kama si ' Kajitabia ' naona kanaanza Kuzoeleka au Kuota mizizi hapa Tanzania ambako sasa tunaona kila jambo likifanyika nchini hasa likiwa ni la ' Kimaendeleo ' utasikia hao hao waliolifanikisha wakisema kuwa halijawahi kutokea au kufanyika katika nchi zingine nyingi za Afrika.

Kwani huwa tunapambana na Maendeleo yetu ili tushindane na Mataifa mengine Afrika na Duniani kote au tunajitahidi Kujiboresha Sisi wenyewe tu? Na je kuna faida yoyote ile ambayo nchi imeipata pale inapoanzisha Miradi mbalimbali ya Kimaendeleo na Kujitapa kuwa haipo katika nchi zingine barani Afrika?

Kuna Mtu mmoja ( Simkumbuki jina ila nikimkumbuka nitamtaja ) aliwahi kusema kuwa sijui kuna aina ya Ndege ambayo ipo njiani au sijui imeshakuja kwamba haiko nchi zingine zote barani Afrika bali ni Tanzania tu pekee wakati kumbe hapo nchini Ethiopia, kule Egypt na hata South Africa ' nimedokezwa ' kuwa wanazo tena Siku nyingi tu kuliko Sisi.

Nani katufundisha aina hii ya Ushamba / Umbwigira Watanzania ya kutaka Kujifananisha na kama vile Kushindana na Mataifa mengine ya Afrika hasa katika Miradi mbalimbali ya Kimaendeleo inayohusisha Mioundombinu, Usafirishaji na Nishati? Tafadhali naomba tujijenge Kwanza Sisi kama Sisi na tuache kutaka ' Mashindano ' na Mataifa mengine kwani haina faida yoyote Kwetu zaidi tu ya Kutuchoresha kwa waliotutangulia Kimaendeleo na ambao Wao siyo Wazungumzaji / Wapayukaji hovyo kama Sisi bali ni Watendaji zaidi.

Nawasilisha.

Mkuu Genta tuheshimimiane, swagga za wanaccm usituchanganye watanzania wote. Halafu kuna hizi ya kuanza kusalimia kwa kusema asalama aleko, bwana asifiwe, tumsifu yesu Kristu ili kuonyesha ni wacha Mungu, halafu unakuta huyo mtu ni mwizi wa kura balaa! Hizo ni swagga za wanaccm kumuiga mzee baba.
 
Bora awe mwizi tu. Utakuta muuaji wa kutupwa.
 
Back
Top Bottom