Nani kati yetu??!??

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,702
Imekua ni kawaida wanaume na wanawake kulaumiana kuhusu nani hasa ambae sio mwaminifu katika ndoa,lakini hebu tujiulize uaminifu tunaouzungumzia ni upi ni ule wa kushiriki tendo la ndoa na mtu ambae sio mwanandoa au kushiriki tendo ndoa kinyume na asie kuwa umefunga nae ndoa?Kwa mujibu wa Abrahamic religion kushiriki tendo la ndo kabla ya kufunga ndoa ni kuzini au kwa lugha nyingine kutokuwa mwaminifu kwa mwanandoa wako mtarajiwa,au pia kushiriki tendo hilo na mtu ambae sio mwanandoa wako ikiwa umeshafunga ndoa,ieleweke kwamba tendo la ndoa ni maalumu nani haki ya mwanandoa wako tu,iwe unae au unatarajia kuwa nae,nikama zawadi umeinunua ukiwa safarini kwa ajili ya mama yako huwezi kumpa mtu njiani kwani sio yake,kwa mtazamo huo kama sio wote basi ni 98%sisi sio waaminifu kwani walio wanandoa wetu leo sio wale tulio lianzisha nao!Nimezungumzia Abrahamic religion coz naamini wengi wa wa member wa JF ni waumini wa dini hizo,na dini hizo ni Ukristo madhehebu yote,Uislam na Rastafarian!
 
Eutopian lovers utawajua tu!
Wewe kijana sijui una umri gani!
Ila ninapima kwa harakaharaka huenda ukawa teen-ager!

Mambo hayo unayojaribu kuongelea yako juu ya umri wako sana, na bado hujui ABC's zake!

Waache wafu wawazike wafu wao..utakapoingia huko ndipo utajua kwanini watu wanadanganya katika mahusiano!
Kwasas utakuwa unatumia hisia tu ambazo ni za vitabuni na za ki'maandishi zaidi kuliko reality!...Hakuna anayependa ku'cheat aisee, ni hali halisi inalazimu sometimes!
Kua uyaone!
 
Sidhani kama unaongelea mazingira yetu ya kibongo; hakuna formula; kuanwatu wana cheat kwa sabau tu ya kucheat! kama mimi!
 
Paka Jimmy,hujajibu swali zaidi ya kuassume mambo,hebu jibu swali halafu mengine tutatafuta siku yake!
 
Maskin Jeuri,hayo ni kwa hali na mazingira yote!Lakini kama unafanya jambo bila sababu ya msingi inatakiwa ujitazame upya!
 
Imekua ni kawaida wanaume na wanawake kulaumiana kuhusu nani hasa ambae sio mwaminifu katika ndoa,lakini hebu tujiulize uaminifu tunaouzungumzia ni upi ni ule wa kushiriki tendo la ndoa na mtu ambae sio mwanandoa au kushiriki tendo ndoa kinyume na asie kuwa umefunga nae ndoa?Kwa mujibu wa Abrahamic religion kushiriki tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa ni kuzini au kwa lugha nyingine kutokuwa mwaminifu kwa mwanandoa wako mtarajiwa,au pia kushiriki tendo hilo na mtu ambae sio mwanandoa wako ikiwa umeshafunga ndoa,ieleweke kwamba tendo la ndoa ni maalumu nani haki ya mwanandoa wako tu,iwe unae au unatarajia kuwa nae,nikama zawadi umeinunua ukiwa safarini kwa ajili ya mama yako huwezi kumpa mtu njiani kwani sio yake,kwa mtazamo huo kama sio wote basi ni 98%sisi sio waaminifu kwani walio wanandoa wetu leo sio wale tulio lianzisha nao!Nimezungumzia Abrahamic religion coz naamini wengi wa wa member wa JF ni waumini wa dini hizo,na dini hizo ni Ukristo madhehebu yote,Uislam na Rastafarian!

Mie nimezaliwa Pwani hapo kwenye red, ilipaswa liwepo neno, "Kujamiiana", kusema tendo la ndoa ni kuhalalisha wakati umeshasema wanaoshiriki hawajafunga ndoa.

Nitarudi kuchangia baadae.
 
Zinduna uwahi maana mchuzi wa mbwa(astaghafulilah)hunyewa bado wamoto!

Hata nikikuta ushapowa siku hizi kuna Orixy, hata kama huna umeme, wajipashia tu.
Nilijikita zaidi kwenye lugha, na sikuzingatia maudhui ya hoja yako.
Kama umenisoma, basi bila shaka ushagundua kwamba mie bado mgeni humu, naepuka kidole na macho.
 
Aaah Zinduna,wasema mgeni mbo huna kamba mguuni weye?(joke)don't wory no one will put anything in your eyes unless u ask that,do as u wish ma!
 
Imekua ni kawaida wanaume na wanawake kulaumiana kuhusu nani hasa ambae sio mwaminifu katika ndoa,lakini hebu tujiulize uaminifu tunaouzungumzia ni upi ni ule wa kushiriki tendo la ndoa na mtu ambae sio mwanandoa au kushiriki tendo ndoa kinyume na asie kuwa umefunga nae ndoa?Kwa mujibu wa Abrahamic religion kushiriki tendo la ndo kabla ya kufunga ndoa ni kuzini au kwa lugha nyingine kutokuwa mwaminifu kwa mwanandoa wako mtarajiwa,au pia kushiriki tendo hilo na mtu ambae sio mwanandoa wako ikiwa umeshafunga ndoa,ieleweke kwamba tendo la ndoa ni maalumu nani haki ya mwanandoa wako tu,iwe unae au unatarajia kuwa nae,nikama zawadi umeinunua ukiwa safarini kwa ajili ya mama yako huwezi kumpa mtu njiani kwani sio yake,kwa mtazamo huo kama sio wote basi ni 98%sisi sio waaminifu kwani walio wanandoa wetu leo sio wale tulio lianzisha nao!Nimezungumzia Abrahamic religion coz naamini wengi wa wa member wa JF ni waumini wa dini hizo,na dini hizo ni Ukristo madhehebu yote,Uislam na Rastafarian!

we mtoto kwa sisi wakongwe hatuiti cheating, tunaita study tour! h've u ever come across that word? unaenda unajivinjari unajifunza mambo mapya then unarudi uwanja wa nyumbani kufany akweli, na hapo ukimbamba mwenzako unatake easy na kuendelea na uhusiano as if nothing happened!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom