Nani kasema unene dili

Nani kasema unene dili

wpid-img_20140712_132641_18522-jpg.jpeg


Kapendezajeeee.....

pole yake .......na hapo mapaja yatakuwa yamechubuka mpaka huruma.....
 
Ni kawaida ya nchi masikini...
Hata kuwa na uhakika wa kula mara 3 kwa siku ni utajiri...
Sembuse kuwa na uhakika wa kula na kusaza...

Wenzetu ukiwa mnene ina maana wewe ni masikini..
Unafakamia vyakula vya low quality ambavyo huko ni cheap...
Huna uwezo wa kulipia gym...
Unakula kula kila ukionacho ili kuondoa stress...(unajua wenye stress wengi wanatumia vyakula vitamu kuji console)
etc...
Chakula dunia ya kwanza si tatizo...tatizo unakula nini (selectivity)

wabongo sie ni ajabu sana
yaani tunaamini mwenye maisha mazuri ni mnene au mwenye hela ni mbonge
ila tuangaliewenzetu wa nje wenye vipato wake kwa waumr walivyi na miili ya kawaida
huyo waziri mwehu tu
 
Waso wasi wako...my hubby ana flat stomach ...na kila nguo anayovaa anatokelezea kusema mwanamitindo...kikubwa fanya mazoezi upanue kifua ...siyo kula kuongeza tumbo kama mjamzito...

Hivi kina Beckham wanaotumiwa kuonyesha mavazi wana vitambi??? je hawapendezi???


Lakini mkuu, si unaona hata wewe mwenyewe ukiwa na kakitambi kamechomoza kidogo, ukivaa tai inatuna kidogo tumboni inapendeza? mwenzio mimi nikivaa tai inanyoka kabisa mpaka ulipo mkanda. sipendi kama nini!! niwai kwenda hospital TMJ dar, nilipo mwambia dr alinitoa nduki!! ila ukweli inapendeza mwanaume ukiwa na kakitambi kamechomoza kidogo.
 
Kuna unene unaojificha kwenye mifupa...cholesterol...huo ni mbaya kuliko...watu wanene wengi wana chance ya kuwa wanene na ndani ya mifupa...ila kuna na wembamba nao wana hili tatizo...

That is why it matters unakula nini regardless unanenepa au hunenepi...
Nina rafiki yangu pia wa kawaida lakini alikutwa na pressure walipomcheki cholstrol yake ilikuwa juu hatari...imebidi aanze diet na vidonge hadi ikashuka ..

Kwa hiyo pia kusema mimi nakula sana na sinenepi si ujanja..unajaza mafuta ndani ya mifupa (japo inawezekana mwili wako una uwezo wa ku regulate but ni risk) ambayo ni mabaya kuliko mafuta ya kwenye nyama...

A friend of mine almost got stroke at 32, and he wasn't even that heavy na pia akagundua kuwa he was diabetic. Yaani sasa mwendo wake ni dirt za kufa mtu, shiiiider!
 
Wazungu tena wao ndio wanakuwa wabaya kweli wakinenepa...
Hasa baadhi ya nchi hili ni tatizo la kitaifa ...kama US...

Lakini ndio umasikini nao sema...kina Bill gate huwezi kuta wana excess fat...

Hata wazungu wanamatumbo sio Wabantu tu lol
 
Unene unazeesha...
Angalia hizo picha mbili...unaweza sema huyo mnene ni mama wa huyo mwembaba...wakati ni same person...


Hahahaaa.... Yaan hatutofautiani, ila mie kusuka bado. Nikimwambia mtu umri wangu anakataa... Et anasema ntakuwa kwenye 22/23yrs huwa nacheka mno.

Ila ni jambo la kushukuru make tuna kaudongo fresh..
 
Kumbe na wanaume wanene wana limit ya nguo wanazoweza vaa...kuna siku nilikuwa natafuta blazer za wanaume online nimnunulie honey wangu birthday present...office mate wangu akawa ananisaidia...nikamuuliza wewe vipi hutaki nunua...akanambia hawezi vaa blazer sababu ya tumbo...hadi nikamuhurumia...
 
miss neddy nakubaliana nawe kwamba wembamba nao ukizidi ni shida. Naomba uangalie hizo picha hapo juu za hawa wahusika kabla hawajafutuka. Wote walikuwa si wembamba ni miili ya wastani ambayo inavutia na pia kukubalika na wengi isiyokaribisha magonjwa mbali mbali yanayosababishwa na unene, bahati mbaya wakajiachia na kuanza kufutuka.

na wembamba ukizidi sana pia ni shida bak mtu anenepe wastani tu
 
Last edited by a moderator:
Habari/story za namna hii huwa siziamini kabisa na Mara nyingi huwa ni matangazo ya biashara ambayo hayajadhibitishwa na mamlaka yoyote.
Hii haina tofauti na dawa za kina lusekelo , kikombe cha loliondo etc.
 
Lakini mkuu, si unaona hata wewe mwenyewe ukiwa na kakitambi kamechomoza kidogo, ukivaa tai inatuna kidogo tumboni inapendeza? mwenzio mimi nikivaa tai inanyoka kabisa mpaka ulipo mkanda. sipendi kama nini!! niwai kwenda hospital TMJ dar, nilipo mwambia dr alinitoa nduki!! ila ukweli inapendeza mwanaume ukiwa na kakitambi kamechomoza kidogo.
Yaani kweli wewe ndiyo upo kushoto kabisa.
Wembamba na wastani ndiyo hupendeza mavazi mengi zaidi ya wanene.
Na ukiwa una mwili wastani hata ukivua nguo hupendeza kuangaliwa tofauti na mwanaume mwenye mtumbo wa kitambi.
Kuna watu tunajivunia uwembamba kufa.
 
Kuna unene unaojificha kwenye mifupa...cholesterol...huo ni mbaya kuliko...watu wanene wengi wana chance ya kuwa wanene na ndani ya mifupa...ila kuna na wembamba nao wana hili tatizo...

That is why it matters unakula nini regardless unanenepa au hunenepi...
Nina rafiki yangu pia wa kawaida lakini alikutwa na pressure walipomcheki cholstrol yake ilikuwa juu hatari...imebidi aanze diet na vidonge hadi ikashuka ..

Kwa hiyo pia kusema mimi nakula sana na sinenepi si ujanja..unajaza mafuta ndani ya mifupa (japo inawezekana mwili wako una uwezo wa ku regulate but ni risk) ambayo ni mabaya kuliko mafuta ya kwenye nyama...

nyumba kubwa cholesterol Mara nyingi huwa ipo kwenye mzunguko wa damu na hiyo ya kwenye mzunguko wa damu ndiyo huwa inahatarisha maisha kwa kuathiri mishipa ya artery.

Soma hapa kwa ufafanuzi zaidi.
http://www.livestrong.com/article/469913-where-is-cholesterol-stored/#page=6
Hapo kumeandikwa kwa kifupi na clear kiasi kwamba inakuwa rahisi kueleweka.
Aksante sana.
 
Last edited by a moderator:
Yaani kweli wewe ndiyo upo kushoto kabisa.
Wembamba na wastani ndiyo hupendeza mavazi mengi zaidi ya wanene.
Na ukiwa una mwili wastani hata ukivua nguo hupendeza kuangaliwa tofauti na mwanaume mwenye mtumbo wa kitambi.
Kuna watu tunajivunia uwembamba kufa.

Sanaaa huyu cjui haelewi. ...

Im proud the way I am
54kg umri urefu na uzito uko sawia bila kusahau kula natural food.

Shida nyingine watu wanafikiri kula vzr ni kula vyakula vyenye mafuta sana.
 
Sanaaa huyu cjui haelewi. ...

Im proud the way I am
54kg umri urefu na uzito uko sawia bila kusahau kula natural food.

Shida nyingine watu wanafikiri kula vzr ni kula vyakula vyenye mafuta sana.

Umejuaje kama urefu na uzito vinashabihiana?
 
Back
Top Bottom