Na huu ni uchawi ...au Creation.
Na hi ni picha ya kwnye Movie , Secret Cycle kama sikosei.
Mmh mandella hakuna washirikina kama ngozi ya njano na ya kitimoto , mwafrika anasubiriNa hi ni picha ya kwnye Movie , Secret Cycle kama sikosei.
Bad luck uchawi wa wazungu tunaonaga kwnye movie tu , kama haripoter na movie nyingine , na nying haziwi uvhawi wa kulogana sijui usipate pesa au usiolewe, noo nyingi zinahusiana na illuminations.