Kwa kuwa kibali wanatoa TCAA, nafikiri wao watakuwa na data
Hahah kawaidaMzee kweli umerudi kwenye nafasi yako
Habar za majukum wakuu? Bila kupoteza muda naomba kuuliza tangu kukatazwa kurushwa drones na TCAA bila kua na idhini ya wizara ya usalama na kibari toka TCAA, je kuna mtu amefata taratibu na akafanikiwa kupata kibari hicho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni kwel, kuna nadhalia nlisikia kua kibali kupata ni ndoto sa nilitaka kuthibitisha kama kwel kuna mtu kapata kibali tangu tangazo litokeKwa kuwa kibali wanatoa TCAA, nafikiri wao watakuwa na data
Eye in the Skyiwe kwa Nchi mzima..................!!!!! kwa hali hii nani atakubali Drone zirusherushe tu.......!!!!!???
Omeonaeeeeeeeeeeeeee......................!!!!!!!!!Eye in the Sky
Anhaa, hivi kwenye website yao hawawezi kuweka taarifa kama hiziYeah ni kwel, kuna nadhalia nlisikia kua kibali kupata ni ndoto sa nilitaka kuthibitisha kama kwel kuna mtu kapata kibali tangu tangazo litoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibaha gani hiyo yenye hao wanyama pori? maana mie kila mwaka naangaika kwenda mbugani kumbe wanyama wapo kilomita 40 tu toka city centerMimi sifuati taratibu za mtu yeyote, najirushia tu drone yangu kila nikienda Kibaha shambani.....yaani full Serengeti, najionea tu wanyama haswa mfalme wa mezani (nguruwe) na nyani wakiranda randa shambani.
Anhaa, hivi kwenye website yao hawawezi kuweka taarifa kama hizi
Sent from my iDevice using Tapatalk
Habar za majukum wakuu? Bila kupoteza muda naomba kuuliza tangu kukatazwa kurushwa drones na TCAA bila kua na idhini ya wizara ya usalama na kibari toka TCAA, je kuna mtu amefata taratibu na akafanikiwa kupata kibari hicho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulimatazwa kutumia drone kwa ajili ya kupiga picha tukipanda mlima kilimanjaro, ikumbukwe wakati huo mamlaka inayodhibiti usafiri wa anga ilikua bado haijatoa katazo wala mambo ya kuomba kibali.
Tulipiuliza kwanini, hatukupewa sababu za kueleweka wala maelezo ya kutosha. Tuliamua kutii sheria bila shuruti ...sorry, tulitii maelekezo, sio sheria.
anhaa sawa mkuuPit
Pitia website ya tawiri.or. tz niliona hiyo kitu ya drone usage in Tanzania
Hiyo movie inaitwa Eagle Eyesiwe kwa Nchi mzima..................!!!!! kwa hali hii nani atakubali Drone zirusherushe tu.......!!!!!???