Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,415
- 54,858
Hapo sijui mkuu nisiseme uongo
Kibaha gani hiyo yenye hao wanyama pori? maana mie kila mwaka naangaika kwenda mbugani kumbe wanyama wapo kilomita 40 tu toka city center
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kiongoziJoseverest MI NILIDHANI UNAJUA KILA KITU MKUU
Haya bwana sina mood ya bifu leoUmeelewa nimeandika wanyama gani? Kuna sehemu Kibaha mashambani hakuna nguruwe au nyani, wapi?