Nani kama mama....???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani kama mama....????

Discussion in 'Jamii Photos' started by roselyne1, May 9, 2010.

 1. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  maternity-475x600.jpg


  Happy mothers day wana JF!
   
 2. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dah!!!
  Picha hii inanifanya nimkumbuka mama yangu mzazi alipo kuwa anambeba mdogo wangu........ Dah!! it is very nice..
  Happy mama day too.
  Hebu check mama anavyo mcheki mtoto wake....... yaani huitaji kujiuliza kama anampenda au la! The picture itself can tell a hundreds of words.
  I real like it.
  Thank you Roselyne1
   
 3. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nani kama mama? baba! naye ni wamuhimu sana. ila hii siku mimi inanifanya nimkumbuke mama yangu kwasababu sijamuona kwa miaka kama miwili na nusu hivi. na sina nafasi ya kumwona ka kitambo baadaye, so nafikiri bora niende thread zingine tu hapa nisijetoa mchozi mimi hapa.
   
 4. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Mwana wa Mungu, hamna kama mama kama ambavyo hamna kama baba.
  Usisikitike mkuu........mama anautamu wake wa pekee...kuna thread mwaka jana nilivyoeleza jinsi nilivyotaka kumuua mjomba aliempiga mama mbele yangu!! nilikomesha mno!
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  sijakuelewa! na wale wamama wanaotelekeza watoto wao je, wale wanaowatupa jalalani vichanga?, nafikiri baba na mama wote ni sawa. mimi nawapenda wote sawasawa. by the way, sijakuelewa hapo uliposema ulitaka kumwua mjomba yako alipokuwa anataka kufanya nini?..angalia bold nyekundu....hata huyo mwana wa mungu nafikiri hajakuelewa. i don't know.
   
 6. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Oooh, sorry mkuu! sahihi ni aliempiga mama yangu...rejea thead ile "SIKU NILIYOTAKA KUMUUA MJOMBA WANGU" search hata kwenye google utaiona...
  Naamini hapo utanielewa mheshimiwa.... mzazi ni mzazi tujifunze kusamehe saba mara sabini!
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  hata anayempiga baba pia ninaweza nikamtandika, au? ni mama peke yake? dingi alikufanya nini mkuu hadi ukamshusha thamani hivyo?
   
 8. b

  bwanashamba Senior Member

  #8
  May 9, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nani kama mama mama awe mama yko aliye kuzaa
  na si wa kambo couse awafai ata kidogo :A S-danger::A S-danger:
   
 9. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Ni mjomba nili mtandika, sio baba. Baba alifurahi sana mkuu.....ngoja nikuibulie hiyo habari sasa hivi utaisoma mwenyewe..."Nilivyotaka kumuua mjomba wangu"...
   
 10. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  pole sana!wababa nao wana sikukuu yao,ngoja ifike
   
 11. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
   
 12. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  you are welcom,am glad you really like it....have a wonderful day too!
   
Loading...