Nani kama mama?

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
1618119117720.png

A picture is worth a thousand words,
Tanzania loves you mama.
 
Mimi nitamkubali baada ya salary ya mwezi wa Saba mwishoni! Na yeye asipo nipandisha daraja kama yule bosi wake, nitamuona na yeye ni wale wale tu!

Anashindwa kuboresha maisha ya wafanyakazi, ili akanunue ndege za kuliletea Taifa hasara! Kiongozi wa hovyo kabisa yule kuwahi kutokea nchini! Mtu unakuwa mkaidi na mjuaji mpaka unakera!!
 
Ila hii ya kupandisha mishahara, kuajiri,best yangu na kupandisha madaraja ataweza kweli kwa mwaka huu? Dah kwakweli its too much
 
Mimi nitamkubali baada ya salary ya mwezi wa Saba mwishoni! Na yeye asipo nipandisha daraja kama yule bosi wake, nitamuona na yeye ni wale wale tu!

Anashindwa kuboresha maisha ya wafanyakazi, ili akanunue ndege za kuliletea Taifa hasara! Kiongozi wa hovyo kabisa yule kuwahi kutokea nchini! Mtu unakuwa mkaidi na mjuaji mpaka unakera!!
kanisani hujaenda maana nilikuamsha kwa simu asbh ukasema unaamka
 
Naenda misa ya pili mkuu! Ni Dominika ya pili hii ya Pasaka, ya mwaka B wa kanisa!! Karibu sana tujumuike pamoja hapa Kurasini, kwenye Kanisa Katoliki la Mt. Maurus.

Ukimuona mzee mmoja bonge hivi mweupe! Ana masharubu! Amevaa shati la kitenge cha maua maua na suruali nyeusi na amevaa miwani ya macho, ndiye mimi. Nimekuja Dar kushangaa ma flyovers yaliyo jengwa na Hajati Rais wetu Jpm.
 
Mimi nitamkubali baada ya salary ya mwezi wa Saba mwishoni! Na yeye asipo nipandisha daraja kama yule bosi wake, nitamuona na yeye ni wale wale tu!

Anashindwa kuboresha maisha ya wafanyakazi, ili akanunue ndege za kuliletea Taifa hasara! Kiongozi wa hovyo kabisa yule kuwahi kutokea nchini! Mtu unakuwa mkaidi na mjuaji mpaka unakera!!
Upo sahihi kabisa mkuu. Hizo loss Ambazo ATCL imeingiza plus hela ya kununulia hiyo midege hivi angefanya salary increment hata ya 10% kwa kila nee financial year tangu achukue nchi si watumishi wote wangemkumbuka sana tena in real sio kwa kulazimishwa na jeshi la polisi.

TZS 150 billion loss . Nchi hii ilichezewa kwa kiwango cha SGR. Sisi wafanya biashara tulikuwa Kwenye wakati mgumu sana kwa sababu hatukuwa tunajua kesho itakuwaje kutokana na jamaa alivyokuwa analazimisha kodi.
 
Naenda misa ya pili mkuu! Ni Dominika ya pili hii ya Pasaka, ya mwaka B wa kanisa!! Karibu sana tujumuike pamoja hapa Kurasini, kwenye Kanisa Katoliki la Mt. Maurus.

Ukimuona mzee mmoja bonge hivi mweupe! Ana masharubu! Amevaa shati la kitenge cha maua maua na suruali nyeusi na amevaa miwani ya macho, ndiye mimi. Nimekuja Dar kushangaa ma flyovers yaliyo jengwa na Hajati Rais wetu Jpm.
🤣🤣🤣🤣🤣tate wewe kivuruge balaa🤣🤣🤣🤣
 
Masharubu😋
 
Tate mkuu zumbe mungu,kumbe ndo we nakuona hapo umevaa shati LA kijani LA kitenge.

Ni nakuona umevaa hapo miwani ya macho bila barakoa.geuka utaniona nimevaa barakoa nyeusi nyuma yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom