Nani kama Jay-,Z??? Lol

Unajua side inayokuja na hii notion kwamba Jay Z is overrated ni hivi vitoto vinavyowasikiliza Kina Migos,Young Thug,Lil peep sijui Lil Nyoko
Wakisikia mstari unarudiwarudiwa "Gucci gang×6" wanadhani hapo ndipo Hiphop ilipoishia wanashindwa kujua HIPHOP is all about being Lyrical na Jay Z is a true lyricist, rekodi ulizozitaja hapo hazijaja tu kwa upendeleo ni kwamba watu huko ulimwenguni wanakubali kazi yake hakuna cha kubebwa wala nini,that Nigga alianza kushine tangu enzi hizo yupo Def Jam Recordings akiwa kinda kabisa.. Kuna dogo aliingia ofisini kwangu akakuta nina playlist ya Jay Z tupu kwenye Windows Media player akaanza ooh huyu rapper ni wa kawaida sana nikaplay "I just i died in your arms tonight " nikamwambia asikilize halafu aniambie amegain nini na nikamwambia kabisa hiyo ngoma Jay Z kaitoa for fun tu sio Debut Song kamaliza kusikiliza eti oooh sijagain kitu nkamwambia hujui HIP HOP mother Fanta toka ofisini kwangu
eti lil nyoko
 
Ukiacha Grammies, billboard ana album 14 zilizokaa namba 1. Hakuna msanii mwingine wa hip hop aliyeweza kufanya hicho kitu, kwenye Album yake ya kwanza Reasonable doubt mwaka 1996 kuna track alisema

"You never ready, forever petty minds stay petty,
Mine's thinkin' longevity until I'm seventy"

25 years later, bado jamaa ana influence kubwa kwenye game na akitoa album kuna kitu kipya utajifunza na bado itapiga numbers ambazo wasanii wachache wanaweza kuzifikia.

Kama ulivyosema aliye juu siku zote lazima achukiwe na wengi watajaribu kumvuta chini kwa kusema fulani yupo better mbona..huyu hamna kitu. Ila ukweli unabaki pale pale kwa wasanii wa hip hop Jay Z anastahili heshima yake.
His latest album 4:4:4 kuna ngoma kama story of OJ na moonlight vijana wanatakiwa wasikilize na wajifunze
 
Unajua side inayokuja na hii notion kwamba Jay Z is overrated ni hivi vitoto vinavyowasikiliza Kina Migos,Young Thug,Lil peep sijui Lil Nyoko
Wakisikia mstari unarudiwarudiwa "Gucci gang×6" wanadhani hapo ndipo Hiphop ilipoishia wanashindwa kujua HIPHOP is all about being Lyrical na Jay Z is a true lyricist, rekodi ulizozitaja hapo hazijaja tu kwa upendeleo ni kwamba watu huko ulimwenguni wanakubali kazi yake hakuna cha kubebwa wala nini,that Nigga alianza kushine tangu enzi hizo yupo Def Jam Recordings akiwa kinda kabisa.. Kuna dogo aliingia ofisini kwangu akakuta nina playlist ya Jay Z tupu kwenye Windows Media player akaanza ooh huyu rapper ni wa kawaida sana nikaplay "I just i died in your arms tonight " nikamwambia asikilize halafu aniambie amegain nini na nikamwambia kabisa hiyo ngoma Jay Z kaitoa for fun tu sio Debut Song kamaliza kusikiliza eti oooh sijagain kitu nkamwambia hujui HIP HOP mother Fanta toka ofisini kwangu
Hahaha boss ni ujuaji wa kizazi cha sasa hawawezi ku argue basi ili kuficha udhaifu wanakimbilia ku diss.
 
This guy is overrated hamna kipya sana kuna watu kama jadakiss ukiwasikiliza utaelewa maana ya hiphop,ndio maanq kipindi chq 2pac kumdiss lipotea akaanza kuvuma livofariki his just a soft artist and an opportunist,ukitaka kujua uchawi upo jiulize beyonce kampate kama sio bibi yuko mtwara huko..
Chuki binafsi
 
True that. Jigga yuko overrated sana. Kwangu hata top five hayupo. Anafikia hata nusu ya uwezo wa Nas huyu? Kina Mos def, talib kweli, Common, Jadakiss n the likes.
Common anachana kizamani..Hana swagger..
Mimi namkubali Nas..
 
jigga ni hatari ila swali lako Nani kama jigga!? Tutakwambia wengi tu, mfano mzuri hasimu wake NAS escobar nikupe wapili EMIN3M kwa uchache.
 
jigga ni hatari ila swali lako Nani kama jigga!? Tutakwambia wengi tu, mfano mzuri hasimu wake NAS escobar nikupe wapili EMIN3M kwa uchache.
Kwa hiyo alitakiwa awe specific au!? M&M nadhani kamzidi Jay Z album/records sales kwa upande huo.
 
Kwa hiyo alitakiwa awe specific au!? M&M nadhani kamzidi Jay Z album/records sales kwa upande huo.
Yes, angesema tu jigga ni hatari, watu tusingetia doa, zaidi ya kuelezea uhatari wa jigga, ila anaposema nani kama jigga? Hilo ni swali inabidi tumjibu kwa kumuonesha zaidi ya jigga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom