k 4 real
Hatua aliyofikia DIAMOND wangefikia wale wa mtaa wa "cheketua" ingekuwa balaa
wasafi president anapendwa humu kenya kuliko huko kwao t.z.,nawaomba t,z mpeeni huyu kijana mkono,,,
bongo hakuna km chibu mkuu.
Hatua aliyofikia DIAMOND wangefikia wale wa mtaa wa "cheketua" ingekuwa balaa
K 4 real ndo nini tena arif?
​ Ni kweli hakuna kama kiba anayeongelea VIDEO ya nyimbo 1 zaidi ya miezi 6 kama kuna aliyemlazimisha lazima atoe wakati hana uwezo huo ila anajilazimisha kwa presha ya wanaojiita mashabiki wakemkuu hapa bongo hakuna kama kibaaa
K 4 REAL DAIMA dumu
Banaa eenh!!tutolee matusi humu ndani ebooh!!unadhani wote ni wanawake humu wenye K pekeyao??tuna wanaume kibao usituletee mambo yako ya K hapa!
Eti K4real daima dumu!"nani alikuambia Kama K inakufa??K hata ukifa unakufa nayo wala haibanduki Ilipoota.
Kei Kei kei my FOOT!!
Best taratibu ujue best...watu watajifungua hapa best
Lakini best mzigo wangu sijaupata ...unakwama wapi mbebs?
Kumbe ndio maana yake?ahaahahahaa!!napata idea ni vipi nikiongeza neno UMA kwenye hiyo K??
Kizuri zaidi hao views wote ni kina dada tu.