Hapana wifi inabidi tufanye utafiti vizuri... ukute mwenzetu hizo ni peza za karanga tu... hahaha! Tukimchangia tusije kuta anachukua hizo pesa kama change ya kuwapa omba omba njiani. lol
Hehehehe atapasuka libichwa leo lol
Wifi hongera zako na wewe......mwambie King'asti anilipe lile deni langu ASAP manake nataka nifuate nyayo zako !
Nangojea Paw aone haya manyanyaso kabla sijamuomba Natalia akifufuka anipeleke kwa shemeji zake wenye mahela. Mtoto wa kike mie sikuzaliwa kuteseka! Naanza na obagi, nafuatia carolaiti, kitaeleweka tu!
Tena ana roho nzuri huyoo! lol, bora tu uombe outing ili muende visiwa vya Carribean kwa ajili ya dinner tu na ile jet yake lol
Wifi tafadhali i delete hii post kabla kakako hajaisoma manake familia itatikisika!:eek2:
hahaha! nimedelete wifi, by default inasomeka Vin Diesel ndio akupeleke huko.
ccm hoyeeeee.....chama la wajanja chama la wakubwa... Nyani Ngabu nimjibuje Jestina? ushauri plizzi hate you bishanga kwa umbea,kila siku kupiga majungu tu humu ndani kuwajua watu na personal life zao...ukishirikiana na wajinga wenzako....sijui umepata nini tangu uanze kupika majungu...? babu zima hovyoooooooooo:eek2:
Mdodoro wa kiuchumi humsababishia, mtu infection , wanaita "Nervous system disorders diseases"
Huyu bepari mfilisiko umeshamfikisha hapo!
But uzuri The Secretary ameshaanza kumshughulikia tiba .
Tunamuombea kheri will get well soon!
Kaugonjwa kenyewe hakachelewi kupona.
ccm hoyeeeee.....chama la wajanja chama la wakubwa... Nyani Ngabu nimjibuje Jestina? ushauri plizz