TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,187
- 18,208
Nyie mlishajila vichwa woteAndika vizuri basi
NO REFORMS NO ELECTION
Subirini aiku ya tukio mlinde vyombo na watoto majumbani
Nyie mlishajila vichwa woteAndika vizuri basi
NO REFORMS NO ELECTION
Ndumuz mbona mnashabikia sana ccmVipi Msigwa,
Huyo Anaweza Pita Ama Akapigwa Chali TusiaminiNasubir zamu ya betina wa IPU
It's not easy! Chawa namba moja anabebwa kwa mbeleko ya chuma. Kuna mtu aliagizwa kwamba akalinde heshima ya Zena. Aaaaah! Siyo Zena, ni Betina mtata.Nasubir zamu ya betina wa IPU
Huyu huyu wa Ilemela au?Mabula
Mzee Machozi chaliiiKama kichwa cha habari kinavyoeleza kama una taarifa ya mgombea aliyeliwa kichwa katika mchujo weka jina!. Kumeanza kuchemka
Awahi Chaumwa chaap kabla hawajafunga milango😁😁😁😁 Kama ni kweli hii habari njema ( No Reforms No Elections)
Wooi sema kweli mkuu😅😂Esther Bulaya
Kula bia mbili hapo kwa mangi nakuja kulipa. Taarifa njema sana hiiSilinde,waitara,