Andika vizuri basiKama kichwa cha habari kinavyoeleza kama una taarifa ya mgombea aliyeliwa kichwa katika mchujo weka jina!. Kumeanza kuchemka
Duuh afadhali aiseeSilinde,waitara,
Hii itakuwa imenifurahisha sanaaaaaEsther Bulaya
Dereva?! Wa gari gani tena...kwa sauti ya Bob Nyanga Makani!Dereva
tayari keshaliwa kichwa mjuba yuleGambo Loading
😁😁😁😁 Kama ni kweli hii habari njema ( No Reforms No Elections)Esther Bulaya
Hata yeye alijua hapiti.Hii itakuwa imenifurahisha sanaaaaa
Au ndo anasubiri kupewa ukuu wa wilaya!Hata yeye alijua hapiti.