Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

Hakika hawa watu wanahitaji kubadilisha mafikirio, Yaani mijitu kama hii inakuwa inawaza mikosi tu badala ya kula Maisha. Maisha menyewe tu yamejaa mabalaa alfu unakuja unakataa ofa ya Kula Raha, Kama sio Upumbavu ni nini ?
Kumjua mtanzania asiye na hela ni simpo tu, wanajifanyaga washauri wa maisha linapoingia suala la starehe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom