Simchezo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 463
- 374
Yes, ndege ya Rais unaweza kuikodi.
Kwani tatizo ni nini?
Soma hii habari ambayo iko hapa Jamiiforums.
unaweza kodi ndege zingine za serikali lakini sio ndege special ya rais 5H-ONE, acha kupotosha watu.