Nani imewahi kumtokea hii Hali

Nani imewahi kumtokea hii Hali

Zipo Nyuzi hapa za Kina Pascal na Rakim zimeelezea mengi kuhusu kile mtoa mada anaeleza, nenda kazitafute, itakutana na wenzako huko, Na Wataalam wameyaelezea kwa kina zaidi.
Mkuu kama upo nazo kalibu naomba unitag

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Through astral projection, ntakufundisha ufuate nini, lakini ukubali kwanza hiyo hali inayokutokea iwe mara mbili yake. Kwa kuwa tayari una suffer kwenye hiyo hali, nirahisi sana kui double

• Kwanza punguza uoga, acha mambo ya kufikiria kifo
• Kuwa tayari ku experience "Out of Body Experience"View attachment 2421668
Naona kama inaendana na meditation

Niambie mkuu inakuaje.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Hao wanaokushawishi hapa, waambie wakwambie vyote!

Waambie wasisahau kukwambia siku ukitoka nje ya mwili wako chochote kikitokea kwenye mwili wako, Maturubai yatafungwa nyumbani kwako.
 
Mimi hi huwa inanitokea nikilala sana mchana kiasi kwamba nikiamka najisi mwili uko active sana hapo sasa nikijichanganya usiku nilale mapema lazima niipate hyo changamoto

Baada ya kujua hivyo huwa najitahidi nisitumie muda mwingi kulala mchana hata ikitokea nimelala sana mchana basi usiku nitachelewa Sana kulala yani naweza nilale alfajiri kabisa nikiwa nimejirisha ule uactive nilokua nao baada ya kuamka mchana umekata

Mara nyingine nikiwa nimelala na hyo hali ikawa inaniijia nakua najaribu Kama kuvuta na kutoa hewa kwa nguvu japo ni ngumu.

Kiufupi ile hali inatia uwoga sana maana sauti haitoki, hata kidole akisogei ya mwili una stack hapo ndio huwa naamini KIFO kinatisha
 
Nimeutafuta Uzi wa Rakim ipo umeelezea karibu kila kitu hii Hali inatisha mkuu kwa ambae haijawahi kumpata hatoelewa mara kwa mara nakutana na hii kitu aisee apa nawaza lini itanitokea Tena kwenye ule Uzi Kuna seem panasema Ivi

Unapoona Ile Hali imekukamata kwa kuwa Bado unakuwa
Unajielewa usi hamaki tulia kama sekunde kadhaa Ile Hali
Inaachia tu yenyewe usipanik.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Habari za jioni wakuu poleni na shughuli za hapa na pale Nina jambo kidogo nahitaji tushirikishane inawezekana hili jambo linawatokeaga na wengine ningependa kujua tatizo hili lina sababu za kibaiolojia au kiroho zaidi niende kwenye mada.

Kuna wakati Nikiwa usingizini iwe usiku au mchana siinafika..
Muda usingizi unataka kuamka Sasa wakati naamka...
Macho hayafunguki mdomo haufunguki Wala mwili haufanyi chochote dizain kama umekufa ganzi hivi Sasa humu najua Kuna wataalamu wakila aina naombeni ufafanuzi wengine.
Pengine sipo peke angu nnae patwa na hiii Hali kwa ushauri
Itakuwa faida kwa wengi.

Asante:

Niliwahi kumsikia mtu aliyekuwa karibu yangu sana na alishauriwa kutumia bidhaa fulani hivi ina activate seli za mwili ii zisikilizane na ubongo na damu.

Nikimpata nitakujulisha uwe unanikumbusha kama vipi. 0719794789
 
Sawa mkuu.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Hiyo hali uwa inanitokea lakini si mala kwa mala.

Pindi inaponitokea cha kwanza uwa nawaza KIFO, uwa naweza ku-imagine vile watu wako busy kutandika Matanga. Wengine wanatoa viti nje na wengine wanaweka maturubai kuwawekea wafiwa vimvuli.

Ambacho uwa naweza kufanya ni hiki uwa na concetrate KUAMKA, though ubongo unakuaga upo active na unaelewa kila kitu yaani unakua na uwezo wa kuwaza na kuwazua, pindi unapokua katika hali hiyo ya kutisha Actually.

Mwisho wa siku uwa na amka kabisa, na nikiamka uwa namshukuru Mungu kisha nalala tena. [emoji3][emoji3][emoji3] though hofu yangu kulala nikiwa katika hali ile uwa nahofia kulala moja kwa moja na nisiamke.

My encounter: hali hii nimeizoea now days ikinitokea uwa nai control tu kwa kuulazimisha ubongo ku stemulate mwili nao uamke( apa ni ishu ya mtu na mtu)

Lakini pia kipo kifaa wakuu wameelezea apo juu cha ku stemulate, ambacho ata sijawahi kiona labda wakuu mtueleze vizuri apa sisi wahanga tukielewe.
 
Imenitokea Tena juzi hapa aisee ilikuwa asubui
 
Habari za jioni wakuu poleni na shughuli za hapa na pale Nina jambo kidogo nahitaji tushirikishane inawezekana hili jambo linawatokeaga na wengine ningependa kujua tatizo hili lina sababu za kibaiolojia au kiroho zaidi niende kwenye mada.

Kuna wakati Nikiwa usingizini iwe usiku au mchana siinafika..
Muda usingizi unataka kuamka Sasa wakati naamka...
Macho hayafunguki mdomo haufunguki Wala mwili haufanyi chochote dizain kama umekufa ganzi hivi Sasa humu najua Kuna wataalamu wakila aina naombeni ufafanuzi wengine.
Pengine sipo peke angu nnae patwa na hiii Hali kwa ushauri
Itakuwa faida kwa wengi.

Asante:

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Hii ni hali ya kawaida. Kiswahili wanaita umeshikwa na jinamizi. Mimi hali kama hii ikinitokea baada ya muda ni lazime homa.
 
Imenitokea Tena juzi hapa aisee ilikuwa asubui
Na mara nyingi huwa inatokea asubuhi. Inaonyesha mwili wako una kitu ambacho hakiko sawa. Mimi kuna kipindi nilikuwa nashikwa mpaka ikifika usiku naogopa kulala. Ni watu wengi pia nimesikia wanalalamika. Kama nilivyosema waswahili huamini kuwa ni jinamizi linakushika.
 
Kuna Uzi wa rakims upo ameelezea Kila kitu
 
Na mara nyingi huwa inatokea asubuhi. Inaonyesha mwili wako una kitu ambacho hakiko sawa. Mimi kuna kipindi nilikuwa nashikwa mpaka ikifika usiku naogopa kulala. Ni watu wengi pia nimesikia wanalalamika. Kama nilivyosema waswahili huamini kuwa ni jinamizi linakushika.
Sielewi kitu gan hakipo sawa kwa mwezi hunitokea mara 3 au 4
 
Mkuu, jaribu kufua mashuka, kabla ya kulala hakikisha unatandika kitanda chako kwanza, usipende kulalia foronya, fungulia madirisha hewa iingie ndani, punguza kuangalia movies za mazombi, jaribu kulala uchi ila tu usilale kifudifudi ukaja kuuponza

Usisahau mrejesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari za jioni wakuu poleni na shughuli za hapa na pale Nina jambo kidogo nahitaji tushirikishane inawezekana hili jambo linawatokeaga na wengine ningependa kujua tatizo hili lina sababu za kibaiolojia au kiroho zaidi niende kwenye mada.

Kuna wakati Nikiwa usingizini iwe usiku au mchana siinafika..
Muda usingizi unataka kuamka Sasa wakati naamka...
Macho hayafunguki mdomo haufunguki Wala mwili haufanyi chochote dizain kama umekufa ganzi hivi Sasa humu najua Kuna wataalamu wakila aina naombeni ufafanuzi wengine.
Pengine sipo peke angu nnae patwa na hiii Hali kwa ushauri
Itakuwa faida kwa wengi.

Asante:

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app

piga k-vant hata siku moja uchangamshe mwili damu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom