Nani huyu Ridhiwani Kikwete?

mkuu.... kubali tu kuwa mjukuu kwa mtoa mada.... na hii ni kweli kabisa ukizingatia maisha ya humu JF....check your status... Join Date: Jan 2011...check his status.. Join Date: Feb 2007........ he is old here at JF
Wtvr,uwe babu or wat!ulichozungumzia ni upuuzi m2pu,haki yake 2mpe kwa kipi?kuwa na nyumba kila mkoa?tena za gharama kubwa,kwa wiz wa baba yake,
Au kwa kufwata tabia ya baba yake ya uzinzi,ni hv,mding wake atakavyo maliza mda wake,woote wataish mafchon,coz watatwambia walikopata mali zao,na why wameua wa2 Arusha,nawachukia sn wachaw hao wa maisha ya watanzania,
Cku za hukumu znakarbia,watapata malipo yao
 
habari za leo wajukuu zangu?

ni kwa kipindi kirefu kweli nimeshuhudia huu mjadala juu ya huyu kijana mwenzenu! kama ilivyo ada yangu, leo nimeamua nijitokeze tena; pamoja na mambo mengine mengi ambayo yametokea hapa karibuni na mwaka huu mpya leo nataka nieleze kwa ufupi juu ya huyu kijana na jinsi ninavyo mjua mimi.........

RIDHIWANI KIKWETE,kama wengin wanavyomjua alizaliwa katika hospital ya wilaya ya bagamoyo tarehe 16 mwezi wa NNE mwaka 1979. kijana huyu alizaliwa toka kwa mama AZIZA bint SABURI na baba JAKAYA MRISHO KIKWETE.

RIDHIWANI ni kijana wa kwanza kwa wazazi hawa na alifuatiwa na mdogo wake anayejulikana kwa jina la SALAMA ambaye kwa sasa ni daktari na mwalimu pale MUHIMBILI chuoni.

kijana huyu alianza shule ya msingi mwaka 1987 pale shule ya msingi MATANGINI,nachingwea mkoa wa LINDI.sababu kubwa za yeye kuanza shule huko ni kazi aliyokuwa akifanya baba yake kipindi hicho. ikumbukwe kuwa bwana Kikwete alikuwa katibu wa CCM ,wilayani hapo. mwaka mmoja baadae, bwana ridhiwani na baba yake waliamia MASASI,mkoa wa MTWARA.akiwa huko alijiunga na shule ya MKOMAINDO kwa masomo yake ya darasa la pili kabla hawajarudi DAR ES SAALAAM, mwaka1989 ambapo alijiunga na shule ya FORODHANI iliyopo maeneo ya posta ya zamani hadi alipomaliza darasa la saba.

masomo ya sekondari aliyapata katika shule ya SHAABAN ROBERT na baadae MKWAWA mkoani IRINGA kabla ya kurudi DAR ES SALAAAM kwa ajili ya elimu ya juu katika CHUO KIKUUU CHA DAR ES SALAAM, sehemu ya mlimani na baadae ENGLAND,kwa masomo ya cheti cha elimu ya juu.

KISIASA
kisiasa kijana huyu alianza akiwa mdogo sana.historia inaanza akiwa nyumbani kwao na babu yake pale bagamoyo, ambapo alishiriki katika shughuli za kucheza gwaride kama chipukizi wa chama na hata alipokwenda huko NCHINGWEA NA MASASI aliendelea na shughuli za kucheza gwaride la chipukizi wa chama cha mapinduzi.

mwaka 1992, alikuwa ni mmoja kati ya vijana walioshiriki kama wajumbe kwenye mkutano mkuu wa chipukizi wa ccm taifa uliofanyika mbeya ambao ulimchagua bwana RAYMOND MANGWALE kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo taifa. ( ikumbukwe bwana RAYMOND ni katibu wa UV-CCM, mkoa wa DODOMA ,kwa sasa). hata hivyo pia, wakati wa enzi hizo za masomo ya shule ya msingi, ridhiwani atakumbukwa kama kijana aliyechangia hela nyingi kwenye mradi wa mabasi ya UV-CCM na hata kupeWa nishani na RAISI mstaafu wa AWAMU YA PILI, ALHAJI ALLY HASSAN MWINYI katika viwanja vya KARIMJEE sherehe ambazo zilihudhuriwa na wageni mbalimbali wakiwemo mabalozi wa nchi mbalimbali na viopngozi wa serikali.

wakati yupo sekondari aliendelea kuwa mwana harakati wa kawaida pale shuleni DAR ES SALAAM na hata baadae IRINGA.Waliosoma naye iringa wanakumbuka pilika zake na wenzake katika siasa za wanafunzi ,na michezoni.alikuwa mcheza mpira mzur sana enzi hizo.sijui siku hizi kama anacheza au bado.kumbukumbu zinaonyesha ushiriki wake katika kampeni za kufanikisha wenzake kupata nafasi za uongozi.

wakati akiwa chuoni, alikuwa mstari wa mbele katika siasa za DARUSO. RIDHIWANI amewahi kuwa katibu wa serikali ya wanafunzi, WIZARA YA MAMBO YA NJE NA WANAFUNZI WANAOTOKA NCHI ZA NJE, na baadae alikuwa MBUNGE MWAKILISHI TOKA KITIVO CHA WANAFUNZI WA SHERIA, kabla hajawa MWENYEKITI WA DARUSO-KITIVO CHA SHERIA.

katika kipindi hiki tumeona alivyokuwa akishiriki katia siasa za wanafunzi na hata kushirikiana na wenzake kuhakikisha kuwa yale mambo wanayoyataka katika mazingira ya chuoni hapo yanakuwa vizuri.

Wakati yupo chuoni, akiwa mwaka wa tatu, 2002 aliteuliwa kuwa MUHAMASISHAJI WA UVCCM-wilaya ya BAGAMOYO.ikumbukwe kipindi hiki ni kipindi bwana SAIDI MTANDA ambaye kwa sasa ni MBUNGE WA JIMBO LA MCHINGA,LINDI alikuwa ndiyo MWENYEKITI WA UVCCM wilaya ya bagamoyo.ufanisi wa bwana RIDHIWANI katika mambo ya shughuli za vijana ikiwemo kushirikiana na wenzake kufanya makambi ya kuwaandaa vijana kwa shughuli za jumuiya na mchango wake ulimpelekea kuchaguliwa 2004 kuwa MJUMBE WA BARAZA LA UVCCM-PWANI.ikumbukwe kuwa kipindi hiki mwenyekiti wa vijana mki=oa wa pwani alikuwa BW.KULWA SAID.

katika uchaguzi wa ndani wa CCM , mwaka 2007 bwana RIDHIWANI lichaguliwa kwa kura nyingi , tena kwa kuongoza kwa wingi wa kura kuwa MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA (nafasi abayo anayo hadi sasa).Pamoja na hillo pia RIDHIWANI katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2008 lichaguliwa na vijana wenzake wa wilaya ya BAGAMOYO kuwa MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA UVCCM-TAIFA na pia MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM YA WILAYA -BAGAMOYO.

nafasi ya ujumbe wa halmashauri ya ccm ya wilaya , inampa nafasi ya kuwawakilisha vijana wenzake ndani ya vijao vya chama ngaz ya wilaya. mwaka 2008 alichaguliwa kuwa MJUMBE WA BARAZA KUU LA VIJANA TAIFA kuwakilisha UVCCM-PWANI na kabla kikao cha baraza kuu akijamchagua yeye kuwa MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UVCCM-TAIFA.

RIDHIWANI amekuwa akishiriki katika shughuli za vijana kila siku. kama walivyovijana wengine amekuwa mstari wa mbele kukitetea chama chake cha CCM na pia sera zake. ameshiriki katika mambo yanayohusu vijana wenzake katika makundi mbalimbali hasa yale ya wanafunzi,wanamuziki,wanamitindo,walemavu na mengoineyo mengi.

Kichama ameshiriki kwenye mambo mengi hasa ili la kampeni za chama safari hii. yeye na wenzake akiwemo MAKAMU MWENYEKITI, KATIBU MKUU,NAIBU KATIBU MKUU na wengineo ambao waligawanyika katika makundi mbalimbali wakikinadi chama chao.kubwa zaidi ni jinsi walivyojipanga vijana hasa kukisaidia chama chao kirudi lakini Ukiacha yote ni jinsi kijana alivyokuwa mstari wa mbele kuhahakikisha mambo yanakuwa mazuri.

RIDHIWANI amewahi wakilisha nchi yetu katika mikutano mbalimbali toka akiwa mtoto. mtakumbuka mkutano wa watoto ,ROME 1992, YES-SUMMIT MEXICO 2001,PANEL ON ENVIRONMENTAL SINGAPORE 2005,COMMONWEALTH YOUTH ORGANISATION MALTA 2007- YES-AFRICAN CAUCAS LESOTHO 2006, DEVELOPMENT AND CHALLENGE FACING RULLING PARTIES-SOUTH AFRICA 2008 na mengineyo mengi

RIDHIWANI ameoa na mungu amemjalia mtoto mmoja wa kike anaitwa AZIZA.

ni imani wajukuu zangu sasa mnamuelewa kidogo RIDHIWANI.tunapojadili ndani ya kitivo hiki cha waelewa nafikiri ni vyema tukaanzia hapa.kwamba ridhiwani tunayemjua anafanana hivi. na ni imani yangu kuwa kidogo kama sio kwa msaada swali '' HUYU RIDHIWANI NI NANI, ANAZUNGUMZA KAMA NANI NA ANAFANYA HIVI KAMA NANI LINAWEZA KUWA LIMEPATIWA JIBU''

MNYONGE MNYONGENI, LAKINI HAKI YAKE..................................

Unatafuta umashuhuri kwa njia mbovu dogo ,anza upya
 
Chief, kwanza asante sana kwa kuleta mada kuhusu Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete. We're strong applause you for that. Baada ya kusema hayo, ndugu zangu wengine JF is a place of great thinkers, we drill things to the bottom.

Chief, CV ya Ridhiwani uliyotulitea hailezei chochote cha kustusha na imeacha vingi tuu ambavyo bado Watanzania wengi wana maswali navyo. Ieleweke ya kwamba Ridhiwani ni product of Nepotism and favoritism nothing less nothing more. I will defend the argument based on different reasons.

Kwanza, Kushiriki kwake kwenye mikutano hiyo mliyotaja hakumpi any qualification of be or become a potential leader. Baba yake nadhani ametembelea nchi nyingi than any president in Tanzania history, yet he is the worse president than ever in Tanzania history. Habari ya kwamba ameanza chipukizi akiwa na mwaka moja doesn't make him a leader, habari ya kwamba alikuwa sijui nini au nani Daruso doesn't make him a leader. We need substance, amefanya nini Bagamoyo?

Pili, naomba utuelezee kwa nini Ridhiwani aliajiriwa na Masha. Na jee can you separate kuajiriwa kwake na Masha na kupewa uwaziri kwa Masha na Baba yake. Vile vile kutokana na vigezo vya Masha Firm nilazima uwe na high graduate scores ili uweze kufanya internship, Jee unaweza kuprove wrong sisi tuna argue kwamba Ridhiwani hakumaliza degree na high score? Jee how can you separate Nepotism and this?

Tatu, ni uelewo wangu kwamba Ridhiwani ni Mjumbe wa UVCCM, na kuna wajumbe kadhaa (i think) ndani ya UVCCM, sasa ni kwa nini yeye anakuwa kwenye decision point zote za juu za UVCCM? Jee anatumia jina lake kuifluance maamuzi ndani ya UVCCM?

Nne, Juzi ametoa tamko kuhusu CDM and Arusha saga. Lakini hajatoa tamko kuhusu Dowans, hatajotoa tamko kuhusu IPTL, ajatoa tamko kuhusu EPA, ajatoa tamko kuhusu katiba bomu inayompa baba yake madaraka ya kugawa nafasi kwa kina Nape, ajatoa tamko kuhusu wizi wa kura. Mbona hajatoa tamko kuhusu UMASIKINI uliokithiri Tanzaina. So, is he in favor of CCM or the development of Tanzania? Tushauri kimoja tuu ambacho Ridhiwani anaona CCM are wrong on it and he stand like a men with the balls and condemn it. Tell us, is it EPA, corruption, poverty? What is it?

Tano, Jee Ridhiwani amesaidia NINI BAGAMOYO? To my understand Bagamoyo is one of the bottom of the bottom places in Tanzania. The statistics shows every worse number you can imagine concern the place, now convince me what did Ridhiwani achieved in Bagamoyo. Please don't shout kwamba aliwapa watu mitaji.

Mwisho, we need substance and not speeches. We all knows that Ridhiwani is bogus like many elites kids who were raised in the suburbs of Oysterbay. He never achieved anything based on hard working and determination. We want to hear things which have influence and effects to Tanzanian. Sio kutuambia ameshiriki mikutano, who cares.... Baba yake ametembelea nchi mia kidogo, and yet Tanzania is the poorest country on earth.

Thanks sana mkuu... nadhani cha kuongeza ni kwamba tanzania kwa sasa haihitaji tena kiongozi na hasa rais mwanasiasa, tunataka rais mtendaji, mwenye insight na issues zetu na very strong qualities za problem solving

as far as i am concerned the boy has none except politics, which have hampered our nation this way
 
habari za leo wajukuu zangu?

Ni kwa kipindi kirefu kweli nimeshuhudia huu mjadala juu ya huyu kijana mwenzenu! Kama ilivyo ada yangu, leo nimeamua nijitokeze tena; pamoja na mambo mengine mengi ambayo yametokea hapa karibuni na mwaka huu mpya leo nataka nieleze kwa ufupi juu ya huyu kijana na jinsi ninavyo mjua mimi.........

Ridhiwani kikwete,kama wengin wanavyomjua alizaliwa katika hospital ya wilaya ya bagamoyo tarehe 16 mwezi wa nne mwaka 1979. Kijana huyu alizaliwa toka kwa mama aziza bint saburi na baba jakaya mrisho kikwete.

Ridhiwani ni kijana wa kwanza kwa wazazi hawa na alifuatiwa na mdogo wake anayejulikana kwa jina la salama ambaye kwa sasa ni daktari na mwalimu pale muhimbili chuoni.

Kijana huyu alianza shule ya msingi mwaka 1987 pale shule ya msingi matangini,nachingwea mkoa wa lindi.sababu kubwa za yeye kuanza shule huko ni kazi aliyokuwa akifanya baba yake kipindi hicho. Ikumbukwe kuwa bwana kikwete alikuwa katibu wa ccm ,wilayani hapo. Mwaka mmoja baadae, bwana ridhiwani na baba yake waliamia masasi,mkoa wa mtwara.akiwa huko alijiunga na shule ya mkomaindo kwa masomo yake ya darasa la pili kabla hawajarudi dar es saalaam, mwaka1989 ambapo alijiunga na shule ya forodhani iliyopo maeneo ya posta ya zamani hadi alipomaliza darasa la saba.

Masomo ya sekondari aliyapata katika shule ya shaaban robert na baadae mkwawa mkoani iringa kabla ya kurudi dar es salaaam kwa ajili ya elimu ya juu katika chuo kikuuu cha dar es salaam, sehemu ya mlimani na baadae england,kwa masomo ya cheti cha elimu ya juu.

Kisiasa
kisiasa kijana huyu alianza akiwa mdogo sana.historia inaanza akiwa nyumbani kwao na babu yake pale bagamoyo, ambapo alishiriki katika shughuli za kucheza gwaride kama chipukizi wa chama na hata alipokwenda huko nchingwea na masasi aliendelea na shughuli za kucheza gwaride la chipukizi wa chama cha mapinduzi.

Mwaka 1992, alikuwa ni mmoja kati ya vijana walioshiriki kama wajumbe kwenye mkutano mkuu wa chipukizi wa ccm taifa uliofanyika mbeya ambao ulimchagua bwana raymond mangwale kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo taifa. ( ikumbukwe bwana raymond ni katibu wa uv-ccm, mkoa wa dodoma ,kwa sasa). Hata hivyo pia, wakati wa enzi hizo za masomo ya shule ya msingi, ridhiwani atakumbukwa kama kijana aliyechangia hela nyingi kwenye mradi wa mabasi ya uv-ccm na hata kupewa nishani na raisi mstaafu wa awamu ya pili, alhaji ally hassan mwinyi katika viwanja vya karimjee sherehe ambazo zilihudhuriwa na wageni mbalimbali wakiwemo mabalozi wa nchi mbalimbali na viopngozi wa serikali.

Wakati yupo sekondari aliendelea kuwa mwana harakati wa kawaida pale shuleni dar es salaam na hata baadae iringa.waliosoma naye iringa wanakumbuka pilika zake na wenzake katika siasa za wanafunzi ,na michezoni.alikuwa mcheza mpira mzur sana enzi hizo.sijui siku hizi kama anacheza au bado.kumbukumbu zinaonyesha ushiriki wake katika kampeni za kufanikisha wenzake kupata nafasi za uongozi.

Wakati akiwa chuoni, alikuwa mstari wa mbele katika siasa za daruso. Ridhiwani amewahi kuwa katibu wa serikali ya wanafunzi, wizara ya mambo ya nje na wanafunzi wanaotoka nchi za nje, na baadae alikuwa mbunge mwakilishi toka kitivo cha wanafunzi wa sheria, kabla hajawa mwenyekiti wa daruso-kitivo cha sheria.

Katika kipindi hiki tumeona alivyokuwa akishiriki katia siasa za wanafunzi na hata kushirikiana na wenzake kuhakikisha kuwa yale mambo wanayoyataka katika mazingira ya chuoni hapo yanakuwa vizuri.

Wakati yupo chuoni, akiwa mwaka wa tatu, 2002 aliteuliwa kuwa muhamasishaji wa uvccm-wilaya ya bagamoyo.ikumbukwe kipindi hiki ni kipindi bwana saidi mtanda ambaye kwa sasa ni mbunge wa jimbo la mchinga,lindi alikuwa ndiyo mwenyekiti wa uvccm wilaya ya bagamoyo.ufanisi wa bwana ridhiwani katika mambo ya shughuli za vijana ikiwemo kushirikiana na wenzake kufanya makambi ya kuwaandaa vijana kwa shughuli za jumuiya na mchango wake ulimpelekea kuchaguliwa 2004 kuwa mjumbe wa baraza la uvccm-pwani.ikumbukwe kuwa kipindi hiki mwenyekiti wa vijana mki=oa wa pwani alikuwa bw.kulwa said.

Katika uchaguzi wa ndani wa ccm , mwaka 2007 bwana ridhiwani lichaguliwa kwa kura nyingi , tena kwa kuongoza kwa wingi wa kura kuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm taifa (nafasi abayo anayo hadi sasa).pamoja na hillo pia ridhiwani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2008 lichaguliwa na vijana wenzake wa wilaya ya bagamoyo kuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa uvccm-taifa na pia mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm ya wilaya -bagamoyo.

Nafasi ya ujumbe wa halmashauri ya ccm ya wilaya , inampa nafasi ya kuwawakilisha vijana wenzake ndani ya vijao vya chama ngaz ya wilaya. Mwaka 2008 alichaguliwa kuwa mjumbe wa baraza kuu la vijana taifa kuwakilisha uvccm-pwani na kabla kikao cha baraza kuu akijamchagua yeye kuwa mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya uvccm-taifa.

Ridhiwani amekuwa akishiriki katika shughuli za vijana kila siku. Kama walivyovijana wengine amekuwa mstari wa mbele kukitetea chama chake cha ccm na pia sera zake. Ameshiriki katika mambo yanayohusu vijana wenzake katika makundi mbalimbali hasa yale ya wanafunzi,wanamuziki,wanamitindo,walemavu na mengoineyo mengi.

Kichama ameshiriki kwenye mambo mengi hasa ili la kampeni za chama safari hii. Yeye na wenzake akiwemo makamu mwenyekiti, katibu mkuu,naibu katibu mkuu na wengineo ambao waligawanyika katika makundi mbalimbali wakikinadi chama chao.kubwa zaidi ni jinsi walivyojipanga vijana hasa kukisaidia chama chao kirudi lakini ukiacha yote ni jinsi kijana alivyokuwa mstari wa mbele kuhahakikisha mambo yanakuwa mazuri.

Ridhiwani amewahi wakilisha nchi yetu katika mikutano mbalimbali toka akiwa mtoto. Mtakumbuka mkutano wa watoto ,rome 1992, yes-summit mexico 2001,panel on environmental singapore 2005,commonwealth youth organisation malta 2007- yes-african caucas lesotho 2006, development and challenge facing rulling parties-south africa 2008 na mengineyo mengi

ridhiwani ameoa na mungu amemjalia mtoto mmoja wa kike anaitwa aziza.

Ni imani wajukuu zangu sasa mnamuelewa kidogo ridhiwani.tunapojadili ndani ya kitivo hiki cha waelewa nafikiri ni vyema tukaanzia hapa.kwamba ridhiwani tunayemjua anafanana hivi. Na ni imani yangu kuwa kidogo kama sio kwa msaada swali '' huyu ridhiwani ni nani, anazungumza kama nani na anafanya hivi kama nani linaweza kuwa limepatiwa jibu''

mnyonge mnyongeni, lakini haki yake..................................

nimesoma posti zako zote 45 za humu jf na nina uhakika asilimia 100 wewe si riz1 bali ni uwt, sasa utuambie kama mkwere amewapa kazi ya kumpandikiza huyu dogo fisadi kwa watanzania
 
Pole sana R1, baba yako amekuharibia wigo wako wa kwenda mbele kisiasa. Thijuw ufanye nn?! Subir vijana wa shule za kata vjijn watavyokupga bao.....
 
Asante Kutujuvya:
  1. CV hii haitusaidii sisi zaidi ya kuonyesha uwezo wake mdogo katka maeneo mengi, inaonyesha amejikita kiaisa tu hajui kingine chochotee.
  2. Haitasadia kututoa sisi katika dimbwi la machafuko yanayoendelezwa na CCM
  3. Hana sifa hata ya kuwa mwenyekiti wa kijiji
Naishia hapa kwa leo
 
mtoa mada atutake radhi, kwanini anatuita sisi wajukuu zake?ana uhakika kua ana uwezo au umri mkubwa wa kuwazaa wazazi wetu?je anajua umri wa kila mwana jamvi?mi yangu ni hayo. NB.umesahau kutupa matokeo ya perfomance yake kuanzia shule ya msingi hadi chuo, anzia na madaraja aliopata na alama za ufaulu wake. Otherwise sijavutiwa na cv hiyo.

join january 2011??????
 
well this tunashukuru kwa kututell bt hatujaona jambo alilotenda au anatenda ambalo linareflect reality ya vijana wa kitanzania zaidi ya kuwawakilisha mafisadi na waponda nchi akiwemo mzazi wake
 
nimewasoma wote na michango yenu mizuri.

ipo michango ya wajukuu zangu ambao nakubaliana nao na mengine hii naona imejaa chuki na kutotaka kukubali ukweli wa haya unayoyaona.niwapongeze tu kuwa vidole na muda wa kuandika munao isipokuwa tusitumie lugha ya kashifa na matusi katika kujibu au kueleza jambo tunaweza kuwa tunapotoka juu ya agenda yenyewe tunayopaswa kuchangia au kujadili.

NIELEZE
kilichoandikwa jana ni historia fupi ya maeneo ambayo huyu bwana mdogo amepita na hasa ukiangalia shule alizopitia na hata safari yake kisiasa.kumbukumbu zote zimetolewa kwenye CV ambayo ipo kila sehemu.kuanzia kazini kwake,umoja wa vijana na hata zile ofisi zetu ambazo tunatunza kumbukumbu za kila mmoja wetu ambaye kwa namna moja au nyengine matendo yake au mwenendo wake tunaona unagusa maslahi ya nchi yetu.

ni ukweli kuwa katika mwendo wake wa maisha kama walivyo vijana wengine ni imani kuwa naye ana ndoto na angependa siku moja ndoto hizo zitimie. suala la kufanikiwa ni moja na kutimiza ndoyo hizo ni jengine . ni matarajio yangu tungetumia tungetumia forum hii kuuliza alifanyaje kufika huku.

suala la kwamba alipata favour si kweli maana ni mtu ambaye amekuwa anajishughulisha tokea akiwa mtoto na kwamba sidhani kwa kijana wa umri wa chipukizi angekuwa anajua nn ambacho anapanga aje kuwa.ni mshikamano na msukumo ndani ya familia au marafiki ambao unaweza kumuonyesha kuwa unaweza kuwa pale.zaidi ya hapo ni marafiki zako unaoishi nao aua mazingira yakupeleke huko....SIDHANI kama alizaliwa akipenda awe mwanasiasa, na hili hata wewe unajua.

pamoja na hayo yamezungumzwa mambo ya kwamba alitoa statement kuhusu CDM ambayo mie nafikiri unamaanisha CHADEMA na yake yaliyotokea ARUSHA. jamani wajukuu zangu, haya mengine hayana ukweli hata kidogo. ukweli ni kwamba siku ya interview hakuzungumza kabisa na hata waandishi walipouliza kuwa ana lolote la kusema, yupo muandishi wa habari inasemekana alimwambia usizungumze maana yasije kusemwa unamtetea baba yako.................

mwisho naomba ieleweke, kuwa RIDHIWANI ni MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UVCCM -TAIFA. moja ya kazi alizonazo kila siku ni kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli za kila siku za jumuiya ya vijana. hii ni kazi ambayo sio yeye peke yake anaifanya isipokuwa ni pamoja na wenzake wote katika kamati yao. kamati hii ni sawa na KAMATI KUU ya chama.

hivyo basi mie sioni ajabu kwa nini anashiriki katika shughuli za chama. yeye si mwanachama kama mimi na wewe ISIPOKUWA yeye ni kiongozi wa ngazi za juu za chama na ana wajibika kufanya kazi za jumuiya ya vijana akishirikiana na mwenyekiti,makamu mwenyekiti na viongozi wengine wa sekretartiat ya jumuiya yao.yeye anaingia kwenye kikao cha juu kabisa katika jumuiya.

nafikiri kama nilivyosema jana,

wajukuu zangu. tuache hasira na tufanye mjadala ambao utatuongoza kujua HUYY RIDHIWANI NI NANI?

KAMA ni suala la alipata nini huko shuleni na alifanyaje akapata nafasi zote hizo, tumuulize mwenyewe katika mikutano na hata ikibidfi tumuombe aingie humu asome.

NI IMANI KUWA ANASOMA NAYE.................................
 
Makamba au au baba yake ridhiwani ndio wameandika hapa, wasituvuruge akili hawa.
Wanajaribu kumpamba na kumpa umaarufu, hana nafasi kabisa katika vichwa vya wana mageuzi.

Ningewashauri CCM sasa hivi wanahangaikie namna gani kupata pesa za kuendeshea miradi mbalimbali waliyoiteka toka umma kama viwanja vya mipira, majumba, magazeti ambayo kwa sasa yanaonekana ni mzigo baada ya ruzuru kuenguliwa kwenda vyamba vya upinzani
Hata kuenguliwa kwa posho kwa baadhi ya watumishi wao sijui kama itakaa sawa kwani huu ni mwanzo tu.

Ndio maana wanang'ang'ania uongozi wa umeya kwenye miji mikubwa kama Mwanza na Arusha kwa sababu majiji hayo yana mapato makubwa. Wako tayari kuua watu ili mradi washike uongozi ili wateke pesa za walipa kodi kadiri wanavyotaka

Kazi kweli kweli.
 
mwisho naomba ieleweke, kuwa RIDHIWANI ni MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UVCCM -TAIFA. moja ya kazi alizonazo kila siku ni kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli za kila siku za jumuiya ya vijana. hii ni kazi ambayo sio yeye peke yake anaifanya isipokuwa ni pamoja na wenzake wote katika kamati yao. kamati hii ni sawa na KAMATI KUU ya chama.

wajukuu zangu. tuache hasira na tufanye mjadala ambao utatuongoza kujua HUYY RIDHIWANI NI NANI?

KAMA ni suala la alipata nini huko shuleni na alifanyaje akapata nafasi zote hizo, tumuulize mwenyewe katika mikutano na hata ikibidfi tumuombe aingie humu asome.

NI IMANI KUWA ANASOMA NAYE.................................

Hivi ww umetumwa na huyo Rizwani wako? naona km unatupotezea muda huyu dogo hafai kuongoza aendelee kupiga gwaride ndilo linamfaa.
 
Hivi ww umetumwa na huyo Rizwani wako? naona km unatupotezea muda huyu dogo hafai kuongoza aendelee kupiga gwaride ndilo linamfaa.

Nakushauri usipoteze muda wako kucomment thread ya mtu anayetumia makalio kufikiri badala ya kutumia ubongo.
 
Ni mwanachama mzuri wa ccm kama tuwajuavyo wenzie,hilo halina taabu.Lakini kitaifa ana nini?mbona hajazungumzia kiherehere alichonacho?anataka kuwa kiongozi wa nani? kuna lipi alilolifanya zaidi ya cv iliyotolewa ya mahudhurio tu.nijuavyo mimi kiongozi huwa anakuwa na sifa za kipekee pale anapokuwa nafanya au kusimamia jambo kweli ubora wake utaonekana.katika cv yake hakuna chochote zaidi eti alipewa nishani kwa kuchangia sana UVCCM,alitoa wapi hizo hela kama sio zile baba yake anazotuibia?anasafishiwa njia na baba yake,maanake atakuwa kama baba yake.sidhani kama kosa tulilolifanya watanzania kumpa huyu Kikwete uongozi tutalirudia tena.Bora akatafuta shughuli nyingine ya kufanya kwani sioni lolote la kumpa nafasi ya uongozi huko mbele.
 
nimewasoma wote na michango yenu mizuri.

ipo michango ya wajukuu zangu ambao nakubaliana nao na mengine hii naona imejaa chuki na kutotaka kukubali ukweli wa haya unayoyaona.niwapongeze tu kuwa vidole na muda wa kuandika munao isipokuwa tusitumie lugha ya kashifa na matusi katika kujibu au kueleza jambo tunaweza kuwa tunapotoka juu ya agenda yenyewe tunayopaswa kuchangia au kujadili.

NIELEZE
kilichoandikwa jana ni historia fupi ya maeneo ambayo huyu bwana mdogo amepita na hasa ukiangalia shule alizopitia na hata safari yake kisiasa.kumbukumbu zote zimetolewa kwenye CV ambayo ipo kila sehemu.kuanzia kazini kwake,umoja wa vijana na hata zile ofisi zetu ambazo tunatunza kumbukumbu za kila mmoja wetu ambaye kwa namna moja au nyengine matendo yake au mwenendo wake tunaona unagusa maslahi ya nchi yetu.

ni ukweli kuwa katika mwendo wake wa maisha kama walivyo vijana wengine ni imani kuwa naye ana ndoto na angependa siku moja ndoto hizo zitimie. suala la kufanikiwa ni moja na kutimiza ndoyo hizo ni jengine . ni matarajio yangu tungetumia tungetumia forum hii kuuliza alifanyaje kufika huku.

suala la kwamba alipata favour si kweli maana ni mtu ambaye amekuwa anajishughulisha tokea akiwa mtoto na kwamba sidhani kwa kijana wa umri wa chipukizi angekuwa anajua nn ambacho anapanga aje kuwa.ni mshikamano na msukumo ndani ya familia au marafiki ambao unaweza kumuonyesha kuwa unaweza kuwa pale.zaidi ya hapo ni marafiki zako unaoishi nao aua mazingira yakupeleke huko....SIDHANI kama alizaliwa akipenda awe mwanasiasa, na hili hata wewe unajua.

pamoja na hayo yamezungumzwa mambo ya kwamba alitoa statement kuhusu CDM ambayo mie nafikiri unamaanisha CHADEMA na yake yaliyotokea ARUSHA. jamani wajukuu zangu, haya mengine hayana ukweli hata kidogo. ukweli ni kwamba siku ya interview hakuzungumza kabisa na hata waandishi walipouliza kuwa ana lolote la kusema, yupo muandishi wa habari inasemekana alimwambia usizungumze maana yasije kusemwa unamtetea baba yako.................

mwisho naomba ieleweke, kuwa RIDHIWANI ni MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UVCCM -TAIFA. moja ya kazi alizonazo kila siku ni kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli za kila siku za jumuiya ya vijana. hii ni kazi ambayo sio yeye peke yake anaifanya isipokuwa ni pamoja na wenzake wote katika kamati yao. kamati hii ni sawa na KAMATI KUU ya chama.

hivyo basi mie sioni ajabu kwa nini anashiriki katika shughuli za chama. yeye si mwanachama kama mimi na wewe ISIPOKUWA yeye ni kiongozi wa ngazi za juu za chama na ana wajibika kufanya kazi za jumuiya ya vijana akishirikiana na mwenyekiti,makamu mwenyekiti na viongozi wengine wa sekretartiat ya jumuiya yao.yeye anaingia kwenye kikao cha juu kabisa katika jumuiya.

nafikiri kama nilivyosema jana,

wajukuu zangu. tuache hasira na tufanye mjadala ambao utatuongoza kujua HUYY RIDHIWANI NI NANI?

KAMA ni suala la alipata nini huko shuleni na alifanyaje akapata nafasi zote hizo, tumuulize mwenyewe katika mikutano na hata ikibidfi tumuombe aingie humu asome.

NI IMANI KUWA ANASOMA NAYE.................................

Chief, kwanza fahamu ya kwamba hatupo hapa kwa maigizo au mzaa. Hapa wapo watu wenye uelewo na uwezo wa kuwaza nje ya sanduku. Ulichokuja kujibu hapa ni vitu ambavyo havina miguu wala mikono.

Kama yeye ni mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya CCM jee ni kigezo kipi kinacho mpa nguvu ya kuja mbele na Mwenyekiti kukemea Arusha saga? Why hakuja mwingine yeyote yule katika kamati. Kwanini wajumbe wenzie hawakuwa na msafara wa magari wakati wa Kampeni? Why? Sababu Ridhiwani ni mtoto wa raisi hivyo ana power than mjumbe wa kawaida period.

Unapinga kwamba Ridhiwani sio zao la kujuana na kupeana nyadhifa, mbona hujatoa hoja ya kupata kwake kazi kwa Masha na kupewa uwaziri wa masha? Hakuna mkutano ambao Ridhiwani atakwenda kuhutubia na mtu mwenye uelewo wa maisha na maendeleo akaenda kusikiliza. Sababu mimi, wewe na Ridhiwani sote tunafahamu hana credibility hata ya kudebate kwenye high school podium apart national issues.

Hatu attack Ridhiwani personal life, tunacho hoji ni Ridhiwani kuzunguka Tanzania na kunadi sera zile zile walizotumia wazazi wake kufikisha Tanzania hapa ilipo. Hakuna mtu ambae angehoji lolote kama Ridhiwani angeamua kukaa ndani na mkewe wakajifukiza udi. Lakini kujileta kwake kwenye maswala ya kitaifa na kutoa opinions ambazo zimebase kwenye false side, hilo ndilo lilisababisha sisi kuhoji kwamba who is Ridhiwani?

Tafadhali jibu hoja kwa hoja na sio kuja kutuambia kwamba alikuwa Chipukizi basi ana qualify kuwa kiongozi. Baba yake alikuwa Kada wa CCM tangu 1979 na leo hii ni Raisi na ameipeleka nchi Jehanamu. Yeye atafanya kipi tofauti? That is a valid question.
 
nimewasoma wote na michango yenu mizuri.

ipo michango ya wajukuu zangu ambao nakubaliana nao na mengine hii naona imejaa chuki na kutotaka kukubali ukweli wa haya unayoyaona.niwapongeze tu kuwa vidole na muda wa kuandika munao isipokuwa tusitumie lugha ya kashifa na matusi katika kujibu au kueleza jambo tunaweza kuwa tunapotoka juu ya agenda yenyewe tunayopaswa kuchangia au kujadili.

NIELEZE
kilichoandikwa jana ni historia fupi ya maeneo ambayo huyu bwana mdogo amepita na hasa ukiangalia shule alizopitia na hata safari yake kisiasa.kumbukumbu zote zimetolewa kwenye CV ambayo ipo kila sehemu.kuanzia kazini kwake,umoja wa vijana na hata zile ofisi zetu ambazo tunatunza kumbukumbu za kila mmoja wetu ambaye kwa namna moja au nyengine matendo yake au mwenendo wake tunaona unagusa maslahi ya nchi yetu.

ni ukweli kuwa katika mwendo wake wa maisha kama walivyo vijana wengine ni imani kuwa naye ana ndoto na angependa siku moja ndoto hizo zitimie. suala la kufanikiwa ni moja na kutimiza ndoyo hizo ni jengine . ni matarajio yangu tungetumia tungetumia forum hii kuuliza alifanyaje kufika huku.

suala la kwamba alipata favour si kweli maana ni mtu ambaye amekuwa anajishughulisha tokea akiwa mtoto na kwamba sidhani kwa kijana wa umri wa chipukizi angekuwa anajua nn ambacho anapanga aje kuwa.ni mshikamano na msukumo ndani ya familia au marafiki ambao unaweza kumuonyesha kuwa unaweza kuwa pale.zaidi ya hapo ni marafiki zako unaoishi nao aua mazingira yakupeleke huko....SIDHANI kama alizaliwa akipenda awe mwanasiasa, na hili hata wewe unajua.

pamoja na hayo yamezungumzwa mambo ya kwamba alitoa statement kuhusu CDM ambayo mie nafikiri unamaanisha CHADEMA na yake yaliyotokea ARUSHA. jamani wajukuu zangu, haya mengine hayana ukweli hata kidogo. ukweli ni kwamba siku ya interview hakuzungumza kabisa na hata waandishi walipouliza kuwa ana lolote la kusema, yupo muandishi wa habari inasemekana alimwambia usizungumze maana yasije kusemwa unamtetea baba yako.................

mwisho naomba ieleweke, kuwa RIDHIWANI ni MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UVCCM -TAIFA. moja ya kazi alizonazo kila siku ni kusimamia utekelezaji wa kazi na shughuli za kila siku za jumuiya ya vijana. hii ni kazi ambayo sio yeye peke yake anaifanya isipokuwa ni pamoja na wenzake wote katika kamati yao. kamati hii ni sawa na KAMATI KUU ya chama.

hivyo basi mie sioni ajabu kwa nini anashiriki katika shughuli za chama. yeye si mwanachama kama mimi na wewe ISIPOKUWA yeye ni kiongozi wa ngazi za juu za chama na ana wajibika kufanya kazi za jumuiya ya vijana akishirikiana na mwenyekiti,makamu mwenyekiti na viongozi wengine wa sekretartiat ya jumuiya yao.yeye anaingia kwenye kikao cha juu kabisa katika jumuiya.

nafikiri kama nilivyosema jana,

wajukuu zangu. tuache hasira na tufanye mjadala ambao utatuongoza kujua HUYY RIDHIWANI NI NANI?

KAMA ni suala la alipata nini huko shuleni na alifanyaje akapata nafasi zote hizo, tumuulize mwenyewe katika mikutano na hata ikibidfi tumuombe aingie humu asome.

NI IMANI KUWA ANASOMA NAYE.................................
Tutolee uchafu wako kezi kakubwa hako siku zao na baba yake zinahesabika hutawasikia tena.
 
NONSENSE. Another kubwa jinga
 
habari za leo wajukuu zangu?

ridhiwani kikwete,kama wengin wanavyomjua alizaliwa katika hospital ya wilaya ya bagamoyo tarehe 16 mwezi wa nne mwaka 1979. Kijana huyu alizaliwa toka kwa mama aziza bint saburi na baba jakaya mrisho kikwete
.

bwana ridhiwani ebu fafanua vizuri hapa au nyinyi uv-ccm ni forgery juuu ya forgery taarifa za intelijensia binafsi zinaonyesha baba yako na mama yako walikuzalia singida, vipi tena unataja bagamoyo/i]

ridhiwani ni kijana wa kwanza kwa wazazi hawa na alifuatiwa na mdogo wake anayejulikana kwa jina la salama ambaye kwa sasa ni daktari na mwalimu pale muhimbili chuoni.

hiyo salama lina uhusiano na salama kondom?

Mwaka 1992, alikuwa ni mmoja kati ya vijana walioshiriki kama wajumbe kwenye mkutano mkuu wa chipukizi wa ccm taifa uliofanyika mbeya ambao ulimchagua bwana raymond mangwale kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo taifa. ( ikumbukwe bwana raymond ni katibu wa uv-ccm, mkoa wa dodoma ,kwa sasa). Hata hivyo pia, wakati wa
enzi hizo za masomo ya shule ya msingi, ridhiwani atakumbukwa kama kijana aliyechangia hela nyingi kwenye mradi wa mabasi ya uv-ccm na hata kupewa nishani na raisi mstaafu wa awamu ya pili, alhaji ally hassan mwinyi
katika viwanja vya karimjee sherehe ambazo zilihudhuriwa na wageni mbalimbali wakiwemo mabalozi wa nchi mbalimbali na viopngozi wa serikali.

una maana gani mtoto wa shule ya msingi kuchangia fedha nyingi ulizitoa wapi? Au mlianza kuiba siku nyingi ebu toa maelezo kidogo hapo..;

wakati akiwa chuoni, alikuwa mstari wa mbele katika siasa za daruso. Ridhiwani amewahi kuwa katibu wa serikali ya wanafunzi,

hapa umedanganya tumefuatilia chuo hujawai kuwa na cheo kama hicho

wizara ya mambo ya nje na wanafunzi wanaotoka nchi za nje,

udsm - daruso wametuambia hakujawai kuwepo cheo kama hicho hapa naona ulikuwa umeshikwa na kizunguzungu cha kuanguka pole sana, anyway uanwakilisha vipi wanafunzi wanaotoka nje ya nchni au nawe unatoka nje ya nchni!

na baadae alikuwa mbunge mwakilishi toka kitivo cha wanafunzi wa sheria,

neno mbunge ni uongo halikuwepo

kabla hajawa mwenyekiti wa daruso-kitivo cha sheria.

bwana ridhi is daruso executive or legislative? Or both? If the answer is executive the you are a liar the post should not be called mwenyekiti wa daruso - kitivo cha sheria has they two entities, it should be termed mwenyekiti wa wanafunzi wa kitivo cha sheria au kwa kifupi kiranja wa kitivo cha sheria; but if the answer is legislative then you are big prevaricator in islamic law your head should be chopped out, unless you then tell us what then is the students executive organ in udsm; and if you think both is the best answer ok good you mean that that daruso was not students organ but university or semi-government organization to represent the government issues to the students then is as far as you were mannequins of the non democratic government of the ccm

Wakati yupo chuoni, akiwa mwaka wa tatu, 2002 aliteuliwa kuwa muhamasishaji wa uvccm-wilaya ya bagamoyo.ikumbukwe kipindi hiki ni kipindi bwana saidi mtanda ambaye kwa sasa ni mbunge wa jimbo la mchinga,lindi alikuwa ndiyo mwenyekiti wa uvccm wilaya ya bagamoyo.ufanisi wa bwana ridhiwani katika mambo ya shughuli za vijana ikiwemo kushirikiana na wenzake kufanya makambi ya kuwaandaa vijana kwa shughuli za jumuiya na mchango wake ulimpelekea kuchaguliwa 2004 kuwa mjumbe wa baraza la uvccm-pwani.ikumbukwe kuwa kipindi hiki mwenyekiti wa vijana mki=oa wa pwani alikuwa bw.kulwa said.

hiki kipande kitunde kitakufaa katika chaguzi za ccm zijazo,...ila hakiuziki popote nje ya vikao vya ccm tambua hilo, sijui ikifa utaitumia wapi pole sana kijana

ridhiwani amekuwa akishiriki katika shughuli za vijana kila siku. Kama walivyovijana wengine amekuwa mstari wa mbele kukitetea chama chake cha ccm na pia sera zake. Ameshiriki katika mambo yanayohusu vijana wenzake katika makundi mbalimbali hasa yale ya wanafunzi,wanamuziki,wanamitindo,walemavu na mengoineyo mengi.

Wanamuziki ==Babu seya

hujui maana ya sera, hata hiyo elimu yako ya sheria haikusaidi kabisa, ndio maana baba yako alikua anatoa ahadi za kujenga barabara, kununua meli na kubadili sura ya tanzania kama anaota ndoto za kama hadhiti za alif-lela-ulela; sera haziwezi kuanzia katika chama hata siku moja na hamna nchni yoyote iliyoendelea kwa mtindo huo labda kama unafanya usanii wa huko kwenu kaole

kichama ameshiriki kwenye mambo mengi hasa ili la kampeni za chama safari hii. yeye na wenzake akiwemo makamu mwenyekiti, katibu mkuu,naibu katibu mkuu na wengineo ambao waligawanyika katika makundi mbalimbali wakikinadi chama chao.kubwa zaidi ni jinsi walivyojipanga vijana hasa kukisaidia chama chao kirudi lakini ukiacha yote ni jinsi kijana alivyokuwa mstari wa mbele kuhahakikisha mambo yanakuwa mazuri.

umemsahau mamako!

ridhiwani amewahi wakilisha nchi yetu katika mikutano mbalimbali toka akiwa mtoto. Mtakumbuka mkutano wa watoto ,rome 1992, yes-summit mexico 2001,panel on environmental singapore 2005,commonwealth youth organisation malta 2007- yes-african caucas lesotho 2006, development and challenge facing rulling parties-south africa 2008 na mengineyo mengi

tuta amini vipi kuwa ulienda kuwakilisha nchni yetu tanzania au safari zako binafsi kama babako!; tanzania hajawai kupata tija yoyote kutokana na safari za babako kwende kubembea sembuse hizi unazo taja hapa!

ridhiwani ameoa na mungu amemjalia mtoto mmoja wa kike anaitwa aziza.

pole aziza maana historia ya tanzania haitakupa ardhi ya kusimama kifua mbele kwa mambo anayoifanyia nchni babu yako, babu yako ana shirikiana na ra na el kuibia kuinajisi hii nchni sijui wewe utaishi wapi baada ya ardhi kujaa damu anayomwaga babu yako

ni imani wajukuu zangu sasa mnamuelewa kidogo ridhiwani.tunapojadili ndani ya kitivo hiki cha waelewa nafikiri ni vyema tukaanzia hapa.kwamba ridhiwani tunayemjua anafanana hivi. Na ni imani yangu kuwa kidogo kama sio kwa msaada swali '' huyu ridhiwani ni nani, anazungumza kama nani na anafanya hivi kama nani linaweza kuwa limepatiwa jibu''

hii inaitwa kwa lugha ya kigeni " garbage in garbage out" yaani mjibu mpumbavu kutokana na upumbavu wake

mnyonge mnyongeni, lakini haki yake..................................
mtanzania mnyongeni haki yake....................
 
Back
Top Bottom