[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yule anajua kutukera kweliNgoja nifanye mazoezi ya kisaikolojia kwanza maana sijawahi kutibuliwa na mtu JF kama anavyonitibua yule mtu!
Ukimleta hapa ladha ya uzi wote inasepa.
Sema siku hizi naona watu wengi wanamchana.
Nitaweka keshoWeka picha yako basi.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sema unafurahi watu wanavyommind na yeye asivyokata tamaa. Dada king'ang'anizi yule aiswe wale ndio huwa hawaachiki kwa namna yoyote ile.
Unitag tafadhali. Tena uipost mida ya kukaribia kulala. Nina kazi nayo.Nitaweka kesho
Andika umeipata.Unitag tafadhali. Tena uipost mida ya kukaribia kulala. Nina kazi nayo.
Naamini hutaniangusha.Andika umeipata.
Siwezi kukuangusha.Naamini hutaniangusha.
Miss you more love.Nimekumiss mkali wangu
Nilikuwa natoa mfano tu lakini nilikuwa namaanisha Wabongo tunapenda sana kumuhukumu mtu kwakuwa anafanya dhambi tofauti na ile tufanyayo sieKama huko siasan panakera ,bora nibaki chit chat kabisa
Sawa nimekupataNilikuwa natoa mfano tu lakini nilikuwa namaanisha Wabongo tunapenda sana kumuhukumu mtu kwakuwa anafanya dhambi tofauti na ile tufanyayo sie
Hivi umejificha au umefichwa??Miss you more love.
Hivi umejificha au umefichwa??
Teh teh..Haya bana..Kwema lakini?baby si umenificha wewe jamani!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie nataka ntaipataje?