Nani huyu? Enzi za ujana wake

Nani huyu? Enzi za ujana wake

Huyu ndiye Joshua wetu atayetufikisha nchi ya maziwa na asali.
 
Aisee, inaonyesha alikuwa mnyenyekevu sana
 
Wewe hujawai kuitwa baba na mkeo ?, hivi hujui kuitwa baba ni lugha nyingine ya kuitwa kichwa cha familia ?,pole sana kama wewe kwako huitwi baba kwahyo mkeo anakuita mtoto

Usichanganye mchumba na mke! Dr Slaa hajafunga ndoa.
 
MAKARIOS alikuwa askofu na alitawala Cyprus itakuwa Dr. Slaa!!!Kama DHAIFU alitawala hata Dr. Slaa ataweza mara mia!!

Tofauti ni Askofu Makarios hakukimbia Uaskofu. Slaa alikimbia au alishindwa kiapo cha upadri. Huwezi kuwafananisha.
 
Sijui ni shetani wa aina gani alimuingia aisee!
mkewe wa kwanza yule aliyezaa naye na amempa talaka ndiye alimpa utamu hadi akaacha upadre. sasaivi kwa akili nyingi alizonazo angekuwa kadinari slaa sio pengo tena. lakini tuseme ukweli, tunda lile la katikati ukipewa vizuri unaweza ukauza nyumba gari mashamba kila kitu bila kujijua. ni burudaaani.hapa nilipo nina nusu saa tu nimetoka kulipata toka kwa shemeji yenu mama kayeyoo, napumzika hapa amenirushia laptop niwe naperuzi jf hapahapa kitandani wakati yeye anaandaa mchemsho wa samaki uliochanganywa na karanga, ndizi bukoba na nyanyachungu.
 
ninachowaaminia wakatoliki (pamoja na kwamba mimi sio mkatoliki) watoto wanaosomea seminary hadi upare, huwa ni wale wenye akili, yaani hata katika familia ile cream bora ndio huwa inatolewa kama sadaka kwenda kusomea upadre. mambulula huwa hawasomi seminary kwani kuna mitihani ya mchujo balaa. hivyo msishangae kuona dr. ana akili nyingi na anatakiwa kuongoza hii nchi.
 
Tofauti ni Askofu Makarios hakukimbia Uaskofu. Slaa alikimbia au alishindwa kiapo cha upadri. Huwezi kuwafananisha.

Slaa aliacha kwasababu sio mnafiki; hakutaka na asingweza kumtumikia Mungu na watu wake kwa wakati mmoja hivyo akaamua kuwatumikia watu wa Mungu ili wafike CANAAN nchi ya ahadi na hivyo ndivyo itakavyokuwa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom