Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Ni nani huyu anaepigwa hivi? Amekosa nini? Kwanini wenye kumpiga wanasema "atatuharibia kazi" kazi gani? Na ame' post neno "kimeumanaaa" wapi? Ndiyo kosa lake? Anaefahamu kisa hiki atusaidie, tufahamu. Namba za gari ni T 777 BWS.

Hii si ni kama huyu jamaa ametekwa na anachezea kipigo, What if angezimia au kufariki si angeokotwa Msituni au kwenye Kiroba baharini?

Tunaiomba mamlaka (Najua wengine wanatusoma humu) ifuatilie tukio hili, kwa kweli Tanzania kuna sehemu si salama.

View attachment 1849488

Hii nchi jiwe na SSH wametuharibia sana!
 
Madalali hao
 
Ukatili mkubwa. Unaondoa Imani yangu kwa serikali.
But HOW did you get this picture and not know who it?
 
Back
Top Bottom