Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Nimejisikia hovyooo. Nimewaza mfano angekua kaka yangu,mdogo wangu au mume wangu anafanywa hivyo. Sasa sijui amefanyaje No body knows
 
Kukamatwa kwa lipi? Huyo jama kanasa mtegoni wacha wampe chai kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maswala ya kujifanya askari wakati hujawahi kanyaga CCP Mafunzoni mwisho wake ni kulambwa stiki tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Je ni utaratibu kumwadhibu mtu adharani na kutupia mitandaoni? Huoni kuwa ni kinyume Cha haki za binadamu? Najua watu wanapigwa Sana nataka nikwambie hapo kagu
Kukamatwa kwa lipi? Huyo jama kanasa mtegoni wacha wampe chai kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maswala ya kujifanya askari wakati hujawahi kanyaga CCP Mafunzoni mwisho wake ni kulambwa stiki tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nani anatambua kuwa hao ni watu na kazi zao? Hii bado ni fikirishi either watafanya kazi kumridhisha mdosi au nao majizi tu maana tumerudi kwenye kutambiana kama enzi zile....'Unanijua Mimi ni nani' sidhani kama Askari aliyeiva atakubali kurekodiwa akitimiza majukumu yake ya kila siku ya muajiri wake. Naamini hao ni wahuni tu
 
Je ni utaratibu kumwadhibu mtu adharani na kutupia mitandaoni? Huoni kuwa ni kinyume Cha haki za binadamu? Najua watu wanapigwa Sana nataka nikwambie hapo kagu

Nani anatambua kuwa hao ni watu na kazi zao? Hii bado ni fikirishi either watafanya kazi kumridhisha mdosi au nao majizi tu maana tumerudi kwenye kutambiana kama enzi zile....'Unanijua Mimi ni nani' sidhani kama Askari aliyeiva atakubali kurekodiwa akitimiza majukumu yake ya kila siku ya muajiri wake. Naamini hao ni wahuni tu
Hahaha tujitahidi kutokutafuta matatizo yanayoepukika
 
Mimi MTU hawezi kunipiga hivyo, over

Si amrukie mmoja amng'ate sikio aondoke nalo
unaongea tu asee we mwenyew unaona hapo anajitahidi kuondoka inashindikana af we ndo umng'ate sikio ndo unazid kuwapandisha hasira wakutoe kabisa na hizo kengere zako
 
ila wezi wengine miyeyusho kweli leo maeneo ya sinza wamepiga mwizi kumbe choko wamemvua nguo ana shanga kibao matako yamebabuka kwa mkorogo kajichubua hatari
Hahahahha mwizi chubu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata mm huwezi nipiga hivo Aidha uniue kabisa au nikuue hiyo ndo ilikuwa mbinu ya kaka yangu kipindi hicho Alikuwa mkorofi hatari ilikuwa polisi wakija lazima wamchukue kiheshima mpaka kituoni sio uje umtembezee kipigo alafu umdhalilishe umkokote mpaka kituoni hata wawe Kumi mmoja atakuwa chambo.
 
We unapigwaje hivyo umekaa tu,mlukie mmoja ndoo ya uso,hakuna wa kukupiga risasi,mchana kweupee,
Afrika watu Wana stress za maisha,hasira zao wanaamua wazimalizie kwa Raia.
 
Hizi video kwangu hazifunguki na nishawahi kutoa taarifa lakini wapi..
 
Huyo atakuwa kazingua
Kama kazingua Acha azinguliwe
Ingekuwa vzr waadabishe bila kurekodi
Video yaani kmya kmya

Ova
 
Back
Top Bottom