Kuna kichaa mmoja alikuja bar huku kabeba katoto,,akaja kwenye meza yetu,,tulikuwa vidume 5,,akatuomba pesa,,mmoja wetu,,akaropoka kwa sauti ya ukali,,ebu toka hapa na kichaa chako,,yule kichaa alikasirika sana,,akamwambia yule jamaa,,wewe sindio huwa unanifata usiku na gari unanipeleka kunifanya,,tena mtoto wako huyu hapa na ninamuacha hapa juu ya meza,,watu tukaduwaa,,kweli yule mtoto alikuwa anafanana sana na huyu jamaa yetu,,ikabidi tumwambie jamaa aombe msamaa ili yule kichaaa aondoke na mtoto wake,,kweli alikubali akaondoka,,lakini siri ikawa imefichuka,,,ni wanaume wengi sana wana hizo tabia,,sikuamini kwakweli maana jamaa ni tozi balaa.