Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,268
- 1,267
Habari wana MMU,
Nadhani mtakubaliana na mimi kwamba wanawake wasio na akili timamu wanaongoza katika suala zima la uzazi holela. Kuna wamama hapa mjini vichaa, yaani after 2 years ukimkuta hana kichanga basi ni bahati sana. Wengi wao wanazaa sana na nadhani sio kosa lao huenda wangekuwa na akili timamu wangeweza kujizuia.
Kinachonitatiza mimi, ivi nani huwapa ujauzito wanawake hawa? Ni vichaa wenzao wa jinsia ya kiume au ni wanaume wenye akili timamu? Kama ni vichaa wenzao wa kiume, kwa nini wakati mwingine unaweza kuta hapo mtaani hakuna chizi mwanaume lakini unamkuta chizi mwanamke ana mimba?? Hivi inawezekana kweli mwanaume mwenye akili timamu akafanya mapenzi na mwanamke kichaa?
Kuna siku tulijadili hili suala pamoja na wanaume watatu, mmoja akiwa mtu mzima na yule baba alidai kuwa eti kuna dakika fulani chache za uchizi kwa wanaume, na dakika hizo ndizo hupelekea kufikia hatua ya kufanya mapenzi na kichaa, je ni kweli? Alitoa mfano kwamba ukimuweka mwanaume mwenye akili timamu na mwanamke kichaa sehemu 1 kwa muda wa masaa 24, uku yule mwanamke chizi akifanya vitendo vyake vya uchizi mbele ya uyo mwanaume mwenye akili timamu kuwa uwezekano mkubwa sana wa ngono kufanyika. Anadai kwamba mfanya icho kitendo kwa dakika hizo chache huwa hajielewi na fahamu humjia pale anapomaliza kile kitendo, je ni kweli?