Nani hasa ni 'think-tank' wa CHADEMA? Anapaswa asajiliwe CCM

CHADEMA Wangekuwa wabunifu wangeshinda Uraisi.huwezi sifia kuwa timu fulani ni timu bora wakati haifungi magoli wala kutwaa kombe lolote kutwa ni kushuka daraja.
kijana...!Kama uchaguzi ungekuwa fair , CCM ingeshinda wapi! Hujui kilichotokea October 2015?
 
You have said it all
 
Ila seriously CCM ina shida!!! Kwa ile barua feki ya zuio la mahakama, barua feki ya jaji Kaganda inadhihirisha wazi CCM hakuna thinktank za maana!!
CCM wanategemea figisu kwa kutumia serikali.
Ndio maana wanaweweseka mpaka jeshi la polisi ndilo linaloandamana mitaani kwa sasa..Chezea UKUTA wewe
 
Jana nilikuwa sehemu kwa mjadala kama huu kiukweli jumuia za chama zimelala kuanzia uvccm mpaka wazazi labda ni aina za siasa zinazo endeshwa ndo zinatia uoga
 
Mkuu, UVCCM ni mambulula tu, Lumumba wanataka kufanya mchezo wa kuigiza.
Kitakachotokea ni kwamba UVCCM wataomba kibali cha kuandamana, then watanyimwa ili ku justify kwamba hata CCM wamenyimwa kibali, nyie CHADEMA ni nani mpaka tuwape?
Yani akili za kitoto kabisa.
 
CHADEMA Wangekuwa wabunifu wangeshinda Uraisi.huwezi sifia kuwa timu fulani ni timu bora wakati haifungi magoli wala kutwaa kombe lolote kutwa ni kushuka daraja.

Ukiona hivyo ujue wanatafuta sababu za kuahirisha maandamano baada kuona muziki wa Polisi.
 
UVCCM wana haki ya kuomba kibali na vile vile wanaweza kukubaliwa au kukataliwa. Vyovyote iwavyo nao hawako juu ya sheria. Sasa nyie leteni ukaidi wenu mumfuate nguli wenu wa sheria muone.
 
Vijana wa kitengo cha propaganda cha CCM hawajawahi kuiona hata tiketi ya ndege. Wamechukua 'boarding pass' ya kughushi wakaiweka mtandaoni na kuifananisha na tiketi ya ndege kwa lengo la kumchafua Freeman Mbowe, mwishowe wameumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…